JAMAA ANAYEMFANYA SIMBA KAMA NDUGU YAKE PICHA ZIKO HAPA.



Jamaaa Anaishi na Simba kama Familia, Simba amemzoea kinoma yaaaani hakuna noma kabisaaaaaa.......

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. siku akimchenjia atajuta

    ReplyDelete
  2. ndo zake.anaga rafiki wala wema,,,wema na urafiki ni pale anapotaka yeye.

    ReplyDelete
  3. Ipo cku Atafurahi na roho yake

    ReplyDelete
  4. tafuta na wewe chui

    ReplyDelete
  5. Madness! Huyo ndie atakae muuwa..wa nyama ni marafiki wazuri but sio simba au nyoka!

    ReplyDelete
  6. anamlia time tu...simba ni bonge la snitch

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad