JELA:CHRIS BROWN KURUHUSIWA KUOGA MARA MOJA NDANI YA SIKU MBILI

Chris Brown anadaiwa kuwa ataruhusiwa kuoga mara moja tu ndani ya siku mbili akiwa jela. Staa huyo wa R&B alitupwa jela wiki hii ambako atakaa kwa mwezi mzima baada ya kufukuzwa rehab.

Brown atakuwa amefungiwa kwenye chumba chake mwenyewe kwa saa 23 kila siku, kwa mujibu wa TMZ. Hata hivyo ataweza kusoma vitabu na kufanya mazoezi na atakuwemo humo hadi tarehe 23 April.

Brown, 24 alifukuzwa rehab baada ya kumsogelea na kumshika mwanamke kinyume na masharti ya humo, kukataa kuchukua vipimo vya madawa ya kulevya na kwa kutoa kauli za vitisho wakati wa therapy ya kundi kwa kudaiwa kusema “I am good at using guns and knives.”

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. amelewa ustaa basi anaona na wengine ni fuk tu so kafie jela, jela ni jela hata kama ataoga mara kumi kwa siku

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unatombwa akafie jela cku 10? mama wewe

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad