JK AKAMIWA BUNGENI POLISI WAONGEZWA KUKABILI KUNDI LILILOPANGA KUMZOMEA

SERIKALI imeongeza idadi ya askari bungeni baada ya kubainika kuwa kuna njama zimepangwa na kundi la baadhi ya wajumbe kutaka kumzomea Rais Jakaya Kikwete, Tanzania Daima limedokezwa.

Habari ambazo gazeti hili limezipata, zilidai kuwa kundi hilo litamzomea Rais Kikwete wakati wa kulihutubia Bunge endapo tu atazungumzia msimamo wa Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) wa kutaka serikali mbili na kupingana na maoni ya wananchi waliyoyatoa kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba, chini ya Jaji Joseph Warioba, wanaopendekeza muundo wa serikali tatu.

Ingawa haijajulikana ni kundi gani la wajumbe wanaopanga njama hizo, lakini wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unanyoshewa kidole kwamba ndio wanaohusika na mkakati huo
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. itasaidia nn kumzomea badala ya kujenga hoja, doesnt make sense

    ReplyDelete
  2. lol!wamzomee rahisi tena!!!!majanga kwelikweli..kama inalaana yaani inapanga kabisa kuzomea..yaani baadhi mijitu mle haina adabu hata kidogo.Eti catherine magige nae mbunge..loh sijui kaupatajepataje.

    ReplyDelete
  3. Chadema hao mi najua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkundu wa mama yako unatoa shahawa za mbwa

      Delete
  4. We mavi acha usenge chadema wazomee kwanini kma raisi anajua anaongea hoja za mcngi anaohopa kuzomewa vp hizo nidham za woga mpaka lini anaweza kuzomewa hata na chama chake haina maana kwamba chadema ndo wanajua kuzomea sana acha siasa za maji taka sima jipangesawasawa kabla ya kunena

    ReplyDelete
    Replies
    1. chadema waswambinuga ndo mana,Bora chama kimoja.

      Delete
  5. Nawashangaa sana watu kila kitu kibaya CHADEMA kwani bungeni wapo hao tu mpaka mseme kwamba ndio wanaopanga kumzomea rais.

    ReplyDelete
  6. Chademaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! ndiyo chama makini.

    ReplyDelete
  7. Kuzomea IMO katika democracy. raiis asisumbulwe na kitendo chakuzomewa.

    ReplyDelete
  8. Kweli bado tupo nyuma. Tunatishiwa na polisi uhuru wa hoja upo wapi? Rais ni binadamu kama wengine na kuzomewa ni halali inapobidi ndio maadiliko.sio kuitikia kinafki huku tukijua ni makosa

    ReplyDelete
  9. Haina mashiko katika ujenzi wa Taifa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad