Stori: Imelda Mtema
‘DAIREKTA’ na muigizaji wa filamu Bongo, Adamu Phillip Kuambiana amefunguka kuwa kitendo cha kuwatia makofi waigizaji Wema Spetu na Aunt Ezekiel kilikuwa cha kiungwana sababu amewafundisha.
Akipiga stori na paparazi wetu, Kuambiana alisema bila kuwa mkali wakati mwingine mambo huwa hayaendi kwenye uigizaji hivyo anapotembeza kichapo kidogo, mambo yanakwenda katika mstari.
“Kipigo kinasaidia, watoto wa kike hawa bila kuwatishia wanafanya wanavyotaka na ukiwaruhusu unaweza kuharibu kazi, lakini nashukuru wamenielewa, tunapiga kazi,” alisema Kuambiana.
GPL
KUAMBIANA: KIPIGO NILICHOWAPA WEMA SEPETU NA AUNT KIMEWAPA ADABU
5
March 24, 2014
Tags
Fundisha hadabu hao mbwa koko
ReplyDeleteWe nae,hata hujamuelewa...duh utakufa vibaya!!!.
DeleteMuhaya muhaya tu eti fundisha hadabu!
DeleteUnatafuta kick we malaya
ReplyDeletePiga malaya hao
ReplyDelete