Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume tu hata wanawake wanaohonga.
Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.
Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure.
Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa.
yap nimejuelewa vema less ingekuwa inanunua upendo Mimi mpaka sasa ningekuwa nishaoa,lkn tunaishia kununu mapenzi tu kwa watu wanaotudanganya kuwa wanatupenda
ReplyDeletemkundu wako wee nenda kale mavi huko!
ReplyDeleteKundu zenyewe ss hv zimeshaoza ya nn kuzinunua bora kupiga nyeto tu
ReplyDelete