KUJICHUBUA NA KUVAA MLEGEZO KWA MWANAUME KUNA FAIDA NA MAANA GANI?
10
March 07, 2014
Waungwana naomba mnijuze faida ya kuvaa mlegezo,kutoboa sikio,na kujichubua rangi ya ngozi kwa mwanaume. Kiukweli hiyo hali inanikera sana ninapomuona kijana wa kiume anafanya vitu hivi lakini inawezekana ni ushamba wangu tu labda kuna faida fulani huwa wanapata .je unazijua faida zake au hasara zake au unamchukuliaje kijana wa kiume anayefanya hivyo.
Tags
Ushogaaa.mwanaume alietimia hawezi kufanza vitu hivyo!
ReplyDeleteMdao ukweli ni ushamba tuu ambao Sisi wa TZ tunao wazilishi wana malengo Mlege nisitahili ya mwanamziki mmoja aliyetaka kingia ukumbini ku catch attention ya mashabiki wake sis tumeinga kama ndio vazi la kitaifa. Maswala ya heleni ni ishara ya kuonyesha kuwa anaye fanya hivyo ana kubaliana na mtindo fulani wa mapenzi kama ametoboa masikoyo yote anasema anweza kufanya mapenzi kwa njia zote ama kama ni kushoto tuu anasema haendi njia ya kawaida kama ni kulia ni njia ya kawaida. sasa mashonga wanafanya kwa kujipondoa mdau wengi hafahamu haya ila wanao fahamu ndio lugha yao lakini wa Tz wanaiga mambo bila kupambanua wache waje kakutane na wenye lugha wepelekwe Guest wakafanyiwe na wanaume wezao wasije wakalalamika.
ReplyDeleteHao niwashamba wanaiga vitu wasivyo jua kujichubua unapunguza ngozi inakuwa laini kiasi kwamba wanatusumbua ss madaktali kuwashona nawanaolegeza ndowalewale.
ReplyDeleteBola uganda,hao wote wanagawa tigo
ReplyDeleteMdau 5:04 umepatia kidogo. Kwa kuongezea mlegeo ulianzia jela za Marekani ambapo mtuhumiwa huwa anarushiwa tu mavazi na viatu bila ya kupimwa size. Pindi wakitoka na yale mavazi, watoto wa mtaaani walipotokea hao wahalifu wanafikiri ndio sifa kwani familia nyingi za watu wenye maisha ya kawaida/duni nchini Marekani huwa hazina Baba! Hawa jamaa/wahalifu huwa ndio kama Baba za watoto wa mtaani! Heleni ilikuwa ni ishara ya waliokwenda kwenye vita ya "Vietnam" miaka ya '70, kutokana na kuigwa basi inaonekana kama ni ishara ya ushoga. Mashoga wapo kila sehemu kuanzia wanaSiasa, viongozi waDini mpaka kwa wenye ndoa za kibalali.
ReplyDeleteWanasubir kuolewa2 hao hawana chochote
ReplyDeletewanataka kutobwa tepe kama hilo ujinga 2 huo
ReplyDeleteWantangaza biashara zao kimtindo
ReplyDeletehiyo ni ushamba na kuiga tu bila kujua maana ya hiyo style. style hii inatuma signal kuwa yuko ready kuingiliwa nyuma.
ReplyDeleteKushusha mlegezo ilikuwa ishara kwenye jela za marekani kwambe "uko available kwa wanaume wengine sexually" kwasababu wafungwa hawana sexual rights, lakini ikaaigizwa na watu wengine wasiojua maana yake especially mablack wa huko.
ReplyDelete