KUNA NJAMA YA KUVURUGA BUNGE LA KATIBA

Kuna njama. Maneno haya mawili ndiyo yametumiwa na pande mbili zinazopingana ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, kuelezea hali iliyojitokeza jana wakati wa kikao cha Bunge hilo kuhusu mvutano wa mabadiliko ya kanuni.

Njama zinazoelezwa na pande hizo ni za kuvuruga mchakato wa Katiba Mpya, zikirejea yaliyotokea jana jioni ikiwamo zomeazomea hali iliyomlazimu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuliahirisha Bunge hadi leo jioni.

Baada ya kuahirisha Bunge hilo, Sitta alikutana na waandishi wa habari na kusema kwamba kuna njama za baadhi ya wanasiasa kutumia vurugu kuhujumu mchakato wa upatikanaji wa Katiba, badala ya kujenga hoja.

Bila kuwataja wanasiasa hao, Sitta alisema ikiwa hawataki kuendelea na mchakato huo, basi waondoke na kuwaacha wenye nia njema.

“Wanasiasa hawa wamedhamiria kuvuruga mchakato wa Katiba, tuhuma ambazo tumetuhumiwa leo na Lissu (Tundu) ni uongo na uzushi, mimi sihusiki na kupeleka marekebisho ya kanuni kwenye Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge,” alisema Sitta.

Sitta alikuwa anajibu mchango wa mjumbe wa Bunge, Tundu Lissu alioutoa mapema kwenye kikao cha jioni, akipinga kilichoelezwa ni njama za kutaka kubadili kanuni kinyemela ili kumsaidia mwenyekiti kulidhibiti Bunge.

Sitta alisema kwa kuzingatia kanuni ya 59 (1), Kamati ya Uongozi ina mamlaka ya kupeleka marekebisho ya kanuni ili kuliwezesha Bunge kufanya kazi vizuri.

Alisema hoja kwamba haiwezekani kufanyika mabadiliko hata kabla ya kuanza kutumika kanuni, siyo ya msingi kwani kila kitu kinabadilika kutokana na mazingira yake.

“Kamati ya Uongozi ndiyo ilipeleka waraka wa mabadiliko ya kanuni kwa Kamati ya Kanuni na Haki kwa kuzingatia kanuni, lakini hata kabla ya kujadiliwa na kamati husika inaonekana kuna wajumbe ndiyo wameichukua na kuifikisha bungeni,” alisema Sitta.

Alisema kwa kiasi kikubwa marekebisho ambayo yangesomwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Pandu Ameir Kificho, yalilenga kutoa ufumbuzi wa kanuni ya 37 na 38 juu ya upigaji kura ama uwe wa wazi au siri.

Sitta alisema pamoja na hilo, kulikuwa na marekebisho ya msingi kama kuweka utaratibu mzuri wa majadiliano katika kamati pia kuweka utaratibu wa vikao vya Bunge kuanzia Jumatatu hadi Jumapili.

“Mengi ambayo alikuwa anayasema Lissu kama ni takataka hayakuwapo katika taarifa ya Kificho,” alisema Sitta.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kumamama zo washenzi hao CCM wanataka kuleta wizi ule ule wa Serikali mbili,wanaogopa zikawa tatyu hawawezi tena kuiba kura,fedha na kuiibia Zanzibar,na wale wabunge wa CCM kutoka Zanzibar ni Wahadimu, nao asili yao ni bara hawana uchungu na Zanzibar yetu, lakini kama wakishindwa kuja natatu basi waje na nne hizo walizozisema kule Fuoni katika mkutano wao wa CCM.
    Wabaya haw\a wanaona choyo kuwaona Wapemaba wana nyumaba na Vitega uchumi Tanzania na ulimwenguni kote,hiyo ni kazi ya Allah msiumbuke na kuchuna uso,washenxzi nyinyi,walafi.Sisi Wapemba hatukatai Serikali yetu,tupeni muone maendeleo ya kwetu Pemba, hatushindwi,ila roho mbaya zimewashika.

    Mnaona mkichukua mali na kila cha Mpemba ndio mtakuwa matajiri,mnajidanganya,kwani msimu wa MAPINDUZI MULIDHULUMU NA KUBEBA MALI ZA WATU NYI NGI NA SASA JIANGALIENI MNAKUFA KIHORO,LAANA IWASHUKIE WASHENZI NYINYI,KIKWETE,SHEIN,BILALI NA PINDA PINDA SHENZI LISILOKUWA NA DINI NATABIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ongea wewe hovyo ulioko pemba lkn wapemba walioko bara lazima warudi kwao ndo utakapojua maharage mboga au dawa ya usingizi

      Delete
  2. livurugeni tu, maana halina maana!! wanakula hela za bure tu.

    ReplyDelete
  3. tupunguzeni jazba wazee haya mambo yanatakiwa yaangaliwe kwa kina sana

    ReplyDelete
  4. Boboeni tu, mpaka kieleweke

    ReplyDelete
  5. huyo hapo juu atakuwa wa huko huko bungeni..piumbu zenu pambaneni wenyewe..sisi tushajizoelea shid zetu atuoni cha ajabu..Kuma mae zenu wanzanzibar na tanzania tuwe nchi moja..zanzibar ni ndogo sana kuwa nchi pumbu nyie.

    ReplyDelete
  6. Nana msenge unatakiwa urudi shule

    ReplyDelete
  7. Nana ww nahisi ni kichaa ,

    ReplyDelete
  8. Nana fake wewe mfirwa kwenye majalala unatombewa chupa , nani atatia mboro kwenye kuma chafu, mikojo ya kuoza we

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad