Karibia Week Sasa kama Si week, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!
Wakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.
Mganga maarufu nchini humo Ibrahim Mat Zin anayejulikana kama ‘Raja Bomoh Sedunia Nujum VIP’ alifanya tambiko kwenye uwanja wa ndege Kuala Lumpur Jumatatu hii kusaidia kuitafuta ndege hiyo ya MH370. Anadaiwa kuitwa na viongozi wa juu wa serikali.
“Nadhani ndege bado ipo angani ama ilianguka baharini,” alisema Ibrahim Mat Zin.
kaaz kweli kweli!
ReplyDeleteMungu ndokila kitu hao wazungu wanajifanya kujua kila kitu wawaulize free mason ilipo sasa
ReplyDeletemdau nimekupenda ghafla..waniulize mimi nitawaonyesha ila dau lake nyama za watu waiopungua 10 maana kinawaneng'enesha watu washakufa basi watulie....kuma mae zao.
Deletewaje kwa dkt manyaunyau
ReplyDeleteDuh majanga haya
ReplyDeleteWaje kwa babu wa loliondo
ReplyDeleteMungu ndiyo jibu. inatakiwa kufunga na kuzidi kumuomba Mungu awape faraja waliondokewa na wenzi wao. Amen
ReplyDelete