Kim Kardashian na Kanye West wametangaza siku ya harusi yao, lakini kuna mtu mmpja muhimu anayedaiwa kuwa hatohudhuria – Beyonce.
Wakati ambapo inadaiwa kuwa Jay Z hakuwa tayari kuwa best man wa Kanye, sasa, Beyonce anadaiwa kumwambia Jay-Z na Kanye kuwa hataki kurekodiwa kwenye video wakati wa harusi hiyo. Beyonce anaiwa kusema haiwezekani yeye kuwa sehemu ya video hiyo itakayotumika kwenye reality show ya familia ya Kim.
Mtandao wa RadarOnline umedai kuwa Beyonce amekuwa akiwaambia marafiki zake kuwa hataki kwenda kwenye harusi hiyo kwakuwa idea ya harusi hiyo ni ya kipuuzi kwakuwa harusi yake na Jay Z ilikuwa ya siri.
“Beyoncé’s motto has always been, less is more. But clearly when it comes to Kim, more means more. She knows she’ll have to go to the wedding, but really does not to want to,” kilisema chanzo.
Harusi hiyo itafanyika jijini Paris, May 24 na ofcourse Beyonce atalazimika kuwepo kwasababu tu mume wake Jay Z na Kanye ni marafiki wa damu.
Bongo5
KWANINI BEYONCE HATAKI KUHUDHURIA ARUSI YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN?
7
March 19, 2014
Tags
I love queen b yan maisha yake ya kawaida sio kama viwavi jeshi
ReplyDeletebeyons na mumeo acheni roho mbaya.
ReplyDeletebeyonce hard working and talented.Kim malaya tu..ndo maana B mara nyingi huwa anajiepusha na kim.
DeleteHataki kumpa kik kim goo beyonceee!
ReplyDeletekweli beyonce toka aone ile pic ya xxx ya kim k na ray j, amekua ataki kukaribiana na uyo bi.dada, sasa bac nakuunga mkono queen bey usiende uko kwenye ilo party..
ReplyDeleteUpuuzi mtupu
ReplyDeleteTumechoka na huyo kanye west nami nina harusi ya kaka yangu kanye north mtakuja wadau.
ReplyDelete