KWELI MAISHA MZUNGUKO DOGO JANJA AWAPIGIA MAGOTI TIP TOP NAKUOMBA MSAMAHA

Baada ya Kile Kinachoonekana Kujitambua na Kukua Kiakili ama Maisha kumwendea Kombo huko alipo Msanii Dogo Janja Amewaomba Msamaha Walezi wake wa Zamani ambao ndio walimtoa Katika Game Kundi la Tip Top la Manzese ...Dogo Janja Amesema kuwa Yeye anachotaka ni kumsamehe kwa kila kitu kilichotokea kati yake na hilo Kundi ....Ikumbukwe kuwa Dogo Janja Aliondoka kwenye kundi hilo miaka miwili iliyopita kwa kudai ananyanyaswa na kudhulumiwa kimaslahi aliondoka kwa mikogo mingi sana na Kuchukuliwa na Ostaz Juma na kuingizwa Mtanashati ..Ambao kwa sasa inaonekana wamefulia mbaya kwani hakuna kinachoendelea kwenye kundi hilo mpaka kufikia Dogo Janja kukumbuka Tip Top....Hili Liwe Funzo Kwa Wasaniiii 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad