LINAH AMWANIKA MWANAUME WAKE

Stori: Paparazi Wetu
BAADA ya minong’ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo.

Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: “Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya kuficha. Mimi na Amini imebaki stori tu, hata yeye ana mtu wake.”

Kombo alijipatia umaarufu siku za nyuma baada ya kuingia uwanjani na kumkumbatia mchezaji Ricardo Kaka wa Timu ya Taifa ya Brazil iliyokuwa ikichuana na Taifa Stars katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
GPL

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo bana...
    Eti huyu jamaa ni super star kisa alimkumbatia kaka!!

    ReplyDelete
  2. Huyo linah muone tu hapo kwa camera za 360..

    Ukimuona live utakimbia..

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha ndo kinachowasaidia 360

      Delete
  3. sasa mtu kumkumbatia kaka ndio kawa maarufu duu hii ndo bongo.com

    ReplyDelete
  4. Ila ustaa mzuri lina eti nako kanasumbua wanamme kabaya!

    ReplyDelete
  5. Mtandao umesaidia sana, maana hawa "changu" wa Bongo Fleva na Movie ambao hawana vipaji bali feki sura na miili yao wasingejulikana kabisa.

    ReplyDelete
  6. kiukweli kama ndiyo huyu jamaa aliyejihatarisha maisha yake na kwenda kukimbilia kumkumbatia kaka akifikiri ni ujanja, mimi nilimuona fala sana, sasa alichopata pale ninini?

    ReplyDelete
  7. Amalayatu hana lolote

    ReplyDelete
  8. nani anamjua? nilikuwa najua tu kuna jamaa alifanya upuuzi ule, lakini alikuwa ckuwai kujua jina lake au alivyo mpaka kwenye picha hii

    ReplyDelete
  9. MKUNDU HT HAFAHAMIKI NI KUKU TUUU HUYO MWANA

    ReplyDelete
  10. Huyu linah malaiya

    ReplyDelete
  11. Mbona naona kama mashi wote hao.

    ReplyDelete
  12. Rudi kwa amin maana huyo nagar kakuzid uzur ye ndo anaonekana dem bidada ulivyofanana na bi cheka umezaliwa tisin lkn ukisimamaishwa na monalisa alozaliwa sabin mona mchwiti umekomaa ka dk remmy

    ReplyDelete
  13. Hivi star wa bongo ni yupi? jamani huku bongo hata ukijamba ukatolewa katika vyombo vya habari wewe ni star sasa huyu bwana mdogo aibu aliyotutia ya kuingia kiwanjani na kumshika kaka amekuwa staa!!!!!!!???? kwa hiyo hao wawili ni mastaa yaani staa wa muziki ananihiliwa na staa wa kumkumbatia kaka kwa hiyo wakiwa wawili wanaelezana ustaa wao kazi kwelikweli, nanyie watu wa magazeti tumieni neno staa ipasavyo, ndio maana hatuna staa wa kweli sasa ustadh Juma naye kawa staa nachefukwa sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad