LOWASSA AIKANA NOTI YA SH 500 YENYE PICHA YAKE BADALA YA RAIS

Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mhe. Edward Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya kijamii.

Kumesambazwa picha ya noti ya shilingi mia tano yenye picha ya Mhe. Lowassa. Kitendo hicho siyo utani, bali ni dhihaka na dharau kwa alama za Utaifa na Mamlaka ya nchi. Lowassa Amesema hajui na wala ahusiki na usambazaji wa Noti hiyo Mitandaoni

Mhe. Lowassa anaheshimu maoni ya watu na nguvu ya mitandao ya kijamii, lakini anasisitiza umuhimu kwa wananchi kutumia nguvu hiyo ya mitandao kwa kujadili maendeleo ya nchi yetu badala ya kuwa watu wa kuzusha mambo yasiyo na tija kwa nchi yetu.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mhe. Lowassa (MB)

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wabongo kwa kutengeneza habari hawajambo

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Huyu baba simpendiiiiii,ni familia ya kupenda kujilimbikizia Mali tuuuuuuuuuuu yeye na familia Yake,Ee Mungu usimpe urais huyu baba.Amen

      Delete
    2. Amennnnnnnnnn

      Delete
    3. Amen jaman nitasali kwa hilo very selfish guy

      Delete
  3. Kwann anautaka urais kinguvu huyu naye

    ReplyDelete
  4. Anautaka urais kwa UDI na UVUMBA,ili ale kwa nafasi na familia,Mungu baba usimpe urais huyu baba pleaseeeeee God,I beg!

    ReplyDelete
  5. Ana hela nyingi za kumwaga kwenye kampeni,unacheza na mbongo ukimpa hela tu kura unapata.Rais ni lowassa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma wewe, km umezoea kujiuza n wewe Kuma la mama yako

      Delete
    2. Acha uselfish ww soma vzur elewa dhumuni la sms kasema tabia inayofanywa na Wa tz kuweka pesa mbele ww unamtukana inaonekana ww tahira au unastress Za maisha ya umasikini ulionao panya weee

      Delete
  6. mbongo mchawi wake mkubwa hela so ukimwaga chenji 2 umemaliza kla k2 ndo hivo na lowassa kama ana mpunga mbona urais faster anapata

    ReplyDelete
  7. tutazila kweli hela zake, lakini kura ni siri ya mtu!!

    ReplyDelete
  8. MCHAWI PESA LOWASA MWAGA MIPESA TUKO PAMOJA PESA NDIO KILA KITU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa sasa anamwaga pesa mtampa kura zenu akiingia madarakani atarudisha pesa zote alizo wapa maana anawakopesha

      Delete
  9. Ndo mtaolewa sasa wew sema lowassa mwaga mihela alaf akimwaga mtazirudishaje anonymous unafail

    ReplyDelete
  10. Akitaka urais aihame ccm

    ReplyDelete
  11. Sintosahau nlimuomba huyu baba anitafutie kazi akakataa wakati uwezo huo anao simpi kura yangu mimi hata akiwa raisi najua hata nisaidia chochote wafuasi wake mwambien boss wenu

    ReplyDelete
  12. Lowasa kurra yangu halali kwako

    ReplyDelete
  13. Kwan Lowassa keshapitishwa kuwa mgombea urais? Mnatukanana bure usikute asipate hata hiyo nafas. Kuna watu wana vipaji vya kutukana mmmh

    ReplyDelete
  14. LOWASA TUNAKUPENDA NA TUTAKUPA KURA KIPINDI KIKIFIKA SINGIDA TUPO PAMOJA NA WEWE

    ReplyDelete
  15. Anasaidia Wa monduli tu we ukiwa mmakonde kivyako,mbinafsi,na Freddy kafata roho ya baba yake wachoyoo

    ReplyDelete
  16. Ana hela Ka mchanga Wa baharini kuna siku nilibahatika kupata appointment kumuona nilikuwa na shida ya kufa mtu,mpaka na chozi nikadondosha,hata senti hakunipa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani we ni mmonduli?Anasaidia Kabila lake tu.

      Delete
  17. Kikwete na wanae tutamkumbuka kwa kweli miraji yuko poa mnooo ridhiwan naye kasaidia sana aliosoma nao baba yao ndo usiseme ila lowasa akiwa rais nawaambia hata kuingia ikulu itakuwa kama mbinguni god forbid usitupe rais mwenye roho mbaya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad