LULU: OLE WAKE MTU AMFUATE BWANA’NGU
11
March 17, 2014
YELEUUWI! Msanii asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewatemea cheche wanaomnyemelea mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Amani, akiwataka waache mara moja kwani akiwagundua atawatembezea kichapo.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli wanamnyemelea mumewe mtarajiwa ambapo akithibitisha kitachofuata ni mkong’oto kwani timbwili analiweza.
“Nampenda sana Amani, anachonipa hakuna anayeweza kunipatia, nimetulia, ameshanitambulisha kwa wazazi wake, ole wake nimnase mtu, atanieleza,” alisema Lulu.
GPL
Tags
wewe mwrnyewe unaongoza kuchukua waume za watu iweje upigane? umeona mume anavyo uma eeeeh?? ss zamu yako kuchukuliwa ili uonr utam wake, qmamaeeeeeeeeee
ReplyDeleteutamfanya nn
ReplyDeleteHuyo mume kakosa mchumba , hapo kapotea , maharage ya mby
ReplyDeletehehehe!!!!!
ReplyDeleteunaonekana unanuka kwapa!
ReplyDeleteHalafu alisema jamaa aliyeachana nae ni kwa jili ya kuendekeza tigo...
ReplyDeleteKapata bwana au malaya mwezie? Wenye mabwana wapite mbele nae atainuka.kuma imeoza
ReplyDeletekahaba kama kahaba wengine umalaya ndo zako
ReplyDeleteDada lulu embu ungefunguka amani yupi jaman wa clouds ama wap kama wa clouds atukujui mi mdogo ake im out
ReplyDeleteHahahaha umeua mbavu zangu
Deletenitamfuata mimi nimgonge, ci utaki wanawake wenzio wamfuate!!
ReplyDelete