Lupita Nyong'o Makes history By Becoming The First African To Win An Oscar!
Lupita Amondi Nyong'o made history by becoming the first African woman to win an Academy Award. The rising starlet who has already bagged 26 awards for her role in the movie, 12 years a slave, walked away with her 27th for Best Supporting Actress Oscar at the 86th Academy Awards.
LUPITA NYONG'O MAKES HISTORY BY BECOMING THE FIRST AFRICAN TO WIN OSCAR!
11
March 03, 2014
hebu acheni kwahiyo charlize theron cio mwafrika lol hebu chunguzeni kwanza
ReplyDeleteMzungu mwafrika
Deletewakwanza alikuwa Charlize Theron, mtu wa afrika kusini
ReplyDeleteSema the first east african!!! Nendeni shule japo kidogo na nyieee lol!
ReplyDeletekwani vitu kama hivyo mpaka kwenda shule?ni ufwatiliaji tu jamani
ReplyDeleteHuo ni uandishi wa habari wa Bongo miyayusho mitupu hawachunguzi wao wanaandika tu Duh!Mnatutia aibu ni kweli Charlize Theron ni mwafrika au kwa kuwa ni mweupe?Huo ni ubaguzi wa rangi Nouma
ReplyDeleteMmeshindwa kutafsiri, mbona mengine mnayapost kwa Kiswahili. Nipen kaz niwasaidie.
ReplyDeleteCharlize theron alikua wa kwanza. 2004 alipata academy award best actress kupitia filam ya monster ya 2003.
ReplyDeleteChangamoto kwa waigizaji wa Bongo,
ReplyDeletewabongo alikua kanumba, walobaki wote mashoga na wauza nyuchi, hawajielew wote c w.ume wala w.wke, hawana kiu ya mafanikio zaid ya majungu
ReplyDeletewaigizaji wa bongo wote ni wauza nyapu tu, hamna hata muigizaji
ReplyDelete