Kumbuka kwamba Mabeste hakuhama vizuri kwenye hii lebo na hivi sasa amehama msanii M Rap.
Kwenye hiyo status Mabeste ameandika hivi ,”Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika track yake aliyoifanya AM Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix).
Sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakati niko Bhits!! Je, mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits?
Na kama issue ni Copy and Paste au kuishiwa na idea mbona beat iliyotumika kwenye track yangu ya “SIRUDI TENA” Pancho amei-copy kwenye track ya (cheap monkey ft chriss brown – champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap) bona wao pia wanazingua nao???
#MabesteArmy!”
Duh kweli mziki wa bongo ni shida
ReplyDelete