Stori: Gladness Mallya
MWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi kwake.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha ‘Queen of Swaga’ alisema kutokana na uhusiano wake na Joe kuelekea kwenye ndoa, mara nyingi amekuwa akila bata zake nchini Kenya ambako ndiko mchumba wake huyo anakotokea.
“Mimi sijui kwamba ni mume wa mtu kwani sijawahi kumuona huyo mwanamke ila ninachokijua Joe ana mtoto na hajafunga ndoa na aliyezaa naye tena wanaishi nchi tofauti kwa hiyo sioni shida kuwa naye na mipango ya ndoa ipo,” alisema msanii huyo.
GPL
Wakenya wapenda sana wasenge wakikosa,hata wanawake wanawageuza sasa hapo sijui kazi kwako.
ReplyDeleteUmemkolea huyo mwacheni aukoge
ReplyDeletedada kwanini unalazimisha ndoa? unaboa.mambo mengine sio ya kuleta humu. kinyaa kitupu. ona makope ya kubandika yalivyo msimama utadhani jini
ReplyDeleteKahaba
ReplyDeleteAnafuata pesa tu hana lolote jamaa akifulia atakimbia hawa mademu wanatamaa sana mapenzi hapo hakuna ila una bonge la nido hnngera kwa hilo.
ReplyDeleteWakenya ni magovi hawatailiwi
ReplyDeleteKwan hawajui kutomba? sio kenyatu mbona makabila mengine hapa bongo hawataili? pumbavu
ReplyDeletePambafuuuuu anatafuta mtonyo tu, si alisema hana mpango wa kuolewa kwanza ale bata? kaona kapata buzi ndo anajishebedua! nyoooo!!
ReplyDelete