Na Shakoor Jongo
MUIGIZAJI wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa bora azae kwani kutozaa kwake kunamfanya aumwe mara kwa mara.
Akizungumza na papazi wetu, Mainda alisema amegundua kuwa ili apone ugonjwa wa chango unaomsumbua mara kwa mara ameshauriwa na madaktari azae ndiyo itakuwa suluhu.
“Ugonjwa huu wa chango unanitesa sana, nimevumilia sasa nimechoka, nahitaji kupumzika na ili nipumzike inanibidi nizae tu kwani haya mateso nimeshayachoka,” alisema Mainda.
Ss kwan lazima matangazo hadi kwenye vyombo vya habar au ndo unamtafuta mtu wa kukupachika mimba, wry out mmy, if u dnt mind contact wth me, 0716 ...........@http
ReplyDeletengoma mbaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete4. 58 Sawa kabisa mdau wangu hapo juu.
ReplyDeletemwache azae achokoze virus vianze kushambulia ubongo.
ReplyDeleteumeona umri umeenda umekosa wa kukuoa ulimtegemea ray kakubwaga sasa unasingizia ugojwa ili kuzuga watu we zaa tu tangu nikujue.nazan now umri kama sikosei ni 35
ReplyDeleteC mpk apate wa kumzalisha,mainda kakomaa mpk meno na ule uandunje mmmnh...atakaa sana ni bora angekuwa sister mara mia.
ReplyDelete