MAPENZI YA RIHANA NA DRAKE YAZIDI KUPAMBA MOTO..CRISS BROWN AZIDI KUCHANGANYIKIWA

HATIMAYE mwanamuziki wa kike nchini Marekania Rihanna amethibitisha kutokuwa na mpango wa kurudiana tena na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Chris Brown baada ya kuweka wazi mahusiano yake mapya aliyokuwa akiyaficha kwa muda mrefu sasa.
Rihanna amethibitisha kuwa na mahusiano na mwanamuziki mwenzake Drake, ambapo wameamua kuyaweka wazi mahusiano hayo na siyo ya kificho tena mara baada ya kuwepo na tetesi nyingi juu ya mahusiano ya watu hao wawili.
Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa TMZ, kuwa Rihanna na Drake wameamua kuweka wazi uhusiano huo kwa kuwa karibu zaidi huku mwanadada huyo kuamua kuvaa nguo za Drake.
Kama hiyo haitoshi tuu mwanadada huyo ameamua kuonesha mapenzi hayo hadaharani kwa kumfuata hadi chooni huku akiwa amevaa nguo ya mwanaume wake.
Vyanzo hivyo vimedai kuwa Rihanna hutumia muda mwingi kwa kuwa na Drake kwa madai kuwa anamjali kuliko aliyekuwa mpenzi wake wa awali..Wakati huo huo Chriss Brown anazidi kuchanganyikiwa kwa kuona wawili hao wakiwa Ng'are Ng'are inadaiwa kuwa amefanya vurugu Kule rehab hadi amefukuzwa na amehukumiwa kwenda jela Mwezi mmoja

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chris ataisoma acha mwenzie achezee machine

    ReplyDelete
    Replies
    1. alizoea kumdund dunda ndo ivo crisss isome kimya kimya

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad