MASKINI SHEIKH PONDA ..AENDELEA KUSOTA

JITIHADA za Sheikh Ponda Issa Ponda, kutaka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ifanyie marejeo uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba mosi mwaka jana, zimegonga mwamba baada ya mahakama hiyo kulitupa ombi hilo.

Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Agustino Mwarija, ambaye alisema mahakama imesikiliza hoja za pande zote mbili na imefikia uamuzi wa kukubaliana na pingamizi la awali lililowasilishwa mahakamani na mjibu maombi ambaye ni Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, aliyetaka ombi hilo litupwe.

Februari mwaka huu, Feleshi aliiomba mahakama hiyo ilitupe ombi la Ponda, kwa sababu linakiuka matakwa ya Kifungu cha 372(2) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya mwaka 2002, ambacho kinakataza amri za muda, awali  zinazotokana na mahakama za chini zisikatiwe rufaa katika Mahakama za juu kama Ponda alivyofanya.
Tags

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mshahara wa dhambi ni mauti, hivyo huyu mzee ni halali yake kuendelea kuupata msoto .big up mahakama

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kakufanyia dhambi gani ambayo wewe unaweza kuhukumu?
      Na huyu hukumu yake ikawa mauti?
      Wewe unamacho huoni na unamasikio ila husikii.

      Delete
    2. Hujitambui ipo siku

      Delete
  2. anyongwe kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaweza kuhukumu wewe?
      Au mfuata maneno.

      Delete
    2. Give him a chance to meet Christ

      Delete
  3. Mkund* wako english ya nini?

    ReplyDelete
  4. kweli shost kizungu chake apeleke huko

    ReplyDelete
  5. This is very impressive news.. I am glad him and his kind are facing the rule of law. Our country should not be subjected to idiologs like this idiot. I pray that you get what you deserve in jail

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nae kingereza ka kikuku cha mama roda.kwani huyo mzee kafanyaje nijuzeni jamani:

      Delete
  6. Peleka kwa Nyampala huyo akale dona na maharage ya kigoma.mpeni na jembe akalime majaruba mshenzi huyu.kaaribu amani ya nchi hii sehem kubwa sana kwa kuleta mambo ya udini.nashauri mpelekeni magereza ya malya akafirwe na Nyambala Bikoko ili akirudi ulaiani awe na kazi ya kufi.....wa.

    ReplyDelete
  7. Huyo anae mzihak shekh ponda kuma la mama yake msenge mkubwa

    ReplyDelete
  8. tena mkome nyote mnaomuombea mabaya yataanza kuwapata nyinyi wajawalaana

    ReplyDelete
  9. Raha sana. Piga Hilo jinga. Rahaa mnooooooo!!!!

    ReplyDelete
  10. Simpendi huyo mzee,kwanin wasimfunge maisha jela?Anyongwe kabisaa akome msenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. mh!! we kiumbe unawezaje kumuhukum mwenzio kwann uhika nafasi ya mungu anaetoa hukumu. ss bac mimi simtoahukumu ila naongea kwawale wote wanao toa kashfa mbaya za SHEKHE ee'Mwenyezimungu wadhalilishe hapa duniani na kesho Akhera maana wanajua kuongea tu lakini chimbuko hawalijui. Ee'M/zimungu Msaidie Shekhe Ponda nahiyo dhahama ilio mfikaa.

      Delete
  11. Munasifika kwauchawi sasa anashidwaje kutoka? Si aombe dua pumbavu zake

    ReplyDelete
    Replies
    1. we,we,we, nani uliemtukana tusi hilo laanakumu wamidini, kariri wewe ulie laaniwa na mitume tena punguza kashfa zako kwa shekhe wetu

      Delete
  12. Munasifika kwauchawi sasa anashidwaje kutoka? Si aombe dua pumbavu zake

    ReplyDelete
  13. ukiwa mchokozaji uctegemee nguvu za jiran acha ufunzwe na ulimwengu c ulimtukana shangaz na mafunzo yke ww.

    ReplyDelete
  14. nampenda shaikh ponda ni kiongozi wetu sisi waislam na atashinda kesi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inshaallah Tumuombee kwa pamoja

      Delete
  15. Acha kwanza wamfire jela mpaka mkundu ukomae akafilie mbali. anaharibu nchi hii hatuna udini cc. kutwa kujifanya anamjua mungu kumbe kuma tu. haya mbona mungu hamtoi hapo alipo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WE mpagani siekuwa na dini mambo usio yajua punguza maneno

      Delete
  16. Waislam. Elimu ndogo kazi majungu umbea naunafiki wakimaliza kuswali wanaanza kusema watu sijui wanaswali nini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we Kafiri usielimika sikuzote ambae unazidi kulaaniwa na muomba ALLAH kwa kaulizako hizo za kiyahudi akudhalilishe hapa duniani na kesho akhera JABIS MKUBWA

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad