Jana jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema baada ya watu hao kutekeleza tukio hilo walikimbia kwa miguu kuelekea pasipo julikana.
Afisa wa polisi wa eneo hilo amesema hadi sasa wamefariki watu wawili na wengine kumi wamepata majeraha ya risasi nakukimbizwa hospitali.
Kikundi cha Al Shabaab kiliwahi kuhusishwa na tukio kama hili huko Nairobi lakini hivi sasa limetokea Mombasa.
Maafisa wa polisi wamesema wanaendelea kufanya uchunguzi wa kuwakamata watu hao japokuwa hadi sasa bado hawajapata tetesi yoyote juu ya watuhumiwa hao.
-Regina Iwole
MAUAJI MENGINE YA KIGAUDI YATOKEA KANISANI HUKO MOMBASA
7
March 24, 2014
Tags
Hawa itakuwa ni waislam ndo wamefanya tukio hili, huko kwao wanakotoka hakuna aman kila siku ni kuuwana tu mwanzo mwisho, mfano syria
ReplyDeleteKuma la mamaako mchambia steel waya we umewaona? Nyokooo!
DeleteKafiri ww
ReplyDeleteIla kweli hao watakuwa waislam, tatzo lao hawajiamin na dini yao., kama kweli wanajua ni dini ya haki wamuombe Mungu ili washughulike na wakristo na c kutumia nguvu za mwili.
ReplyDeleteWaislamu hao, kwa maana makundi yote ya kigaidi ni ya kiislamu.
ReplyDeleteTuondoe udini ila ukweli kwamba waislam sio wastaarabu kabisa, ila mungu hawahurumie hawa watu watoke kwnye hiyo iman iko njia ya hatarishi zaidi
ReplyDeleteAo ni wa2 wabaya xana kitendo walichokifanya c kizuri kabisa
ReplyDelete