Akihojiwa na Sauti ya Ujerumani Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa UKAWA amekiri kwamba ni kweli mpango wa kujitoa upo na kwamba wamekubaliana kuvumilia kwa muda kuwapa Ccm muda wa kufikiria mara mbili kuaha kuvuruga mchakato. "Ni kweli wazo la kujitoa lilikuwepo tangu jana na katika kikao cha leo, lakini tumesihi wenzetu kuvumila kidogo huku tukiwapa nafasi wenzetu kujaribu kerekebisha hali inyoendelea."
Amesma pia kwamba UKAWA hawalalamikii nafasi katika kamatia bali uvunjifu wa makusudi wa kanuni.
dah maccccmmm, yani yanajua hii ni nchi yao!!
ReplyDeleteCcm, kirefu chake ni chama cha majambazi, wanaroho mbaya sana hawa jamaa, ajibwa koko ya kijani
ReplyDeletemfilaji.
ReplyDeleteTujitahidi kufikiria juu ya nchi yetu jamani. Mbona mnataka kuwagawa watanzania?
ReplyDeletewaache wajitoe sisi ccm tutasonga mbele
ReplyDelete