Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joshua Nassari, juzi alijikuta akiumbuka bungeni baada ya kushindwa kutaja kanuni aliyoitumia, kuomba mwongozo.
Hali hiyo ilitokea muda mfupi kabla ya wajumbe kupiga kura za kumchagua Mwenyekiti wa Bunge hilo.
Kuumbuka kwa mjumbe huyo ambaye pia ni Mbunge wa Arumeru Mshariki, kulitokana na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho, kumtaka kutaja kanuni aliyoitumia.
Hata hivyo, baada ya kusita kwa muda Nassari bila kutaja kanuni aliyoitumia, alisema wajumbe wengi hawajasikia utaratibu unaotumika katika upigaji kura kwa sababu walichelewa kwenye msongamano wa watu getini.
“Wengi wetu tumeingia tukiwa tumechelewa kwa sababu wengi tunapita katika geti moja. Ningependa ufafanuzi wako kuhusu aina ya kura tunayokwenda kupiga ni ya wazi au ya siri,”alisema.
Hata hivyo, kificho alimjibu kuwa kura zitakazopigwa kumchagua mwenyekiti zitakuwa ni za siri.
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Bunge hilo kupitisha kanuni za uendeshaji wake ambapo hata hivyo nyingine bado zimekuwa na mgongano wa maridhiano kwa baadhi ya wajumbe kutaka ufafanuzi zaidi.
sasa kaumbuka nini hapo? nyie maadmin aacheni ushabiki wa kisiasa humu, mtasababisha sites zenu watu waache kuzivisit, sijui hela mtapewa na hao wanaokutumeni kuandika uchoro? na mpaka lini? kwenye biashara usiweke ushabiki wowote ndugu zangu!!
ReplyDeleteAchaushabkki maandazi hapa ameumbukaje au umetumwa kumharibia dogo mambo mengine unaweza ukawa unaonekana kihiyo acha kuandika ujinga kma huna jipya stay queity pls tuambieni mambo yacngi c upumbavu huu
ReplyDeletehahahaaa napita tu
ReplyDeletePost issues za maana..sasa hpo Mh Mbunge kaumbuka nn;! Acha ushabiki wa kizamani
ReplyDelete.Bado hii haijawa habr..
blog zipo nyingi.
ukicheza utawekwa kapuni.
Atakua ccm, atukuelewi admin
ReplyDeleteAtakua ccm, atukuelewi admin
ReplyDeleteBWEGE
ReplyDeleteAdimin anatombwa!
ReplyDeletetena kwa saaaanaaa na hao macccccmmm!!
ReplyDelete