Chonde jamani baadhi ya kina mama/dada/wasichana mbona mna roho kama za ajabu hivi.
Unawezaje kumwambia mumeo tena wa ndoa maneno kama hayo? mweeee!
Maneno haya kaambiwa mwanaume na mkewe wa ndoa wiki moja iliyopita.
Kwa sasa jamaa hamuamini kabisa mkewe akihofia huenda huyu mwanamke atakuja kumuua kwa sababu ya mali.
Wakiwa sebuleni baada ya kula mwanamke-ghafla tu-akamwambia mumewe eti wajenge nyumba nyingine ya pili ili ikitokea huko mbeleni wakiachana basi kila mmoja awe na nyumba yake kwani hii nyumba wanayoishi sasa mwanaume alijenga kabla ya kumuoa yeye.
Mwanamke anahofia hatapata kitu ikitokea atakufa au wakiachana huko mbeleni.
Mshikaji kaja niambia afanyeje, maana anahofia huenda huyu mwanamke anaweza kuja kumtoa roho kama watakuja kuwa na mali.
Sababu ya hofu hii, mshikaji anafikiria hata kukiuza kiwanja chake kilichopo bunju alichokuwa anapanga kuanza ujenzi mwezi wa nane.
Hivi jamani mkeo akikwambia maneno kama haya, na ndo hivyo ushamuoa kwa ndoa ya kanisani utafanyaje?
Ntmwambia ulikuja kutombwa hbr za kujenga kamwambie bb ako
ReplyDeleteDawa ni kuhuza na vyote wakapange
ReplyDeleteyaani huyo yupo kimaslahi zaidi ni kama mange kimavi yuko kimaslahi zaidi
ReplyDeleteHuyu dada yupo sawa tu.
ReplyDeleteSizani kama huyo dada aliongea jambo hilo kwa nia mbaya. Hii inatokana na unyanyasaji na ukatili eanaofanyiwa wanawake pindi waume zao wanapifariki au kuachana. Kama kweli mwanamke aliikuta nyumba imeisha, ukatokea wakaachana kwa, vyovyote vile mwanamke hatakuwa na chake, so ushauri wa mke wa kujenga matrimonial house si mbaya kabisa
ReplyDeleteNa kwanini aweke mawazo ya kuachana mbele? Huyo malaya tu hafai kuwa mke na ukweli ni kwamba huyo jamaa hana mke hapo.
ReplyDelete