MWANAMUZI NAZIZI AKANUSHA KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA PRODUCER WA TANZANIA

Week iliyopita kulikuwa na Habari kuwa Mwanamuziki Nazizi kutoka Kenya Ambae Pia ni Couzin ya Mwanamuziki wa Bongo Flava Jaffaray kuwa anatoka kimapenzi na Producer wa Muziki Mmbongo ambaye anafanya kazi Huko Nairobi Kwa Jina la Sappy ....Baada ya Habari hizi Nazizi Amejitokeza na kusema kuwa toka aachana na Mume wake hajawahi kuwa mapenzini na mtu yoyote ..japo ana marafiki wengi wavulana na amepiga nao picha nyingi ikiwemo hizo alizopiga na Sappy...Na amesema msishangae zikatoka picha nyingine zaidi akiwa na marafiki zake wa kiume...

-John K

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmh...english tehe tehe!

    ReplyDelete
  2. Wabongo kwakuzusha maneno

    ReplyDelete
  3. @nana rip english

    ReplyDelete
  4. Huyu Nana Junior mbona majanga jamani. Kila topic anacomment sasa tatizo lugha ya mayai haijui na kila comments zake anajaribu kutema yai , mbona aibu? Kwani lugha ya taifa c ipo jamani ya kazi gani kudandia za watu huku umesoma shule za kata.

    ReplyDelete
  5. Nana ni mgonjwa wa akili nina faili lake hapa mirembe msameheni bure hapo ndo uchizi umeanza kupona

    ReplyDelete
  6. Ndo ukome nana.

    ReplyDelete
  7. excuz us. kisa?? fuq u too

    ReplyDelete
  8. so huyo guy alijipromote bure au ndo magazeti ye2 ya udaku? lol

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad