Didier Drogba to get Silver shoe from Chelsea for his services to the club....Nimeipenda sana hii Jamaa Jana usiku wakati wa Mechi ya Chelsea na Galatasaray , Uongozi wa Chelsea walimwandalia Mchezaji Drogba zawadi ya Kiatu cha Silver kwa kuonesha kuukubali mchango wake wakati anachezea hiyo Team kabla ya kuondoka....Kibongo Bongo hii ipo Kweli ?
Bongo kumejaa fitna na majungu tu,hakunaga vitu kama ivyo.
ReplyDeleteTHAMINI!! sio SAMINI
ReplyDeleteni nzuri sana
ReplyDelete