Wadau ole sendeka amemsifu mh tundu lissu kwa uwezo aliounyesha kwenye haya masuala ya kikanuni bungeni. Ameenda mbali zaidi kwa kumshauri rais Jakaya Kikwete ampe uwaziri wa sheria na katiba!
Uzalendo kwanza vyama baadae! Kama mtu anapiga kazi vizuri basi mpeni sifa na nafasi inayomfaaa......
Acha utani ww..haiwezekani akateuliwa waziri kwa sabb Lisu anatoka Chadema Na hatuna serikali ya umoja ka ilivuo ZNZ kwa sasa..
ReplyDeleteIts gud ikifika mahali magamba kusifia mtu wa upinzani. Kiukweli na tukiacha unafiki Lisu alwayz he knowz what he is saying. Tuwanyonge wapinzani bt haki zao wapewe. Ni kama kumnyonga Magufuli na Mwakyembe simply bcoz wako ccm. Its not fair.
ReplyDeletewe Ole acha kumlainisha tundu lisu. tundu we komaa piga kazi kama kawa, hata ole akija na makidamakida mchane tu. hamna kumfagilia. wala nini?kazi kazi
ReplyDeleteMtu mzima kanena
ReplyDeleteHapo saiasa imewekwa kando na ukweli umezungumzwa
ReplyDeleteLissu, jembe hata baba riz moko hilo analijua kitambo tu kabla ya ole kulijua hilo jana
ReplyDeleteni nacho furahia anafata sheria na hana upande anaoutetea anamsimamo na anaongea kinachotakia kwa hilo nampa big up
Delete