POMBE ZA MCHANA MCHANA NI SHIDAAA......ONA HAWA JAMAAAA
9
March 20, 2014
Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele ....Je unafikiri kuna haja ya Serekali kupiga marufuku unywaji wa Pombe mchana kama walivyofanya wenzetu Kenya?
Tags
Ndio uko aja yakupiga marufuku unywaji wa mchana
ReplyDeletePombe ni kitu kisochokua na faida yoyote kwa mtumiaji zaidi ya kumuongezea matatizo na madhara kadhaa. Bila kujali imetumiwa mchana au usiku. Mtu yyt mwenye akili timamu hawezi kuwa mnywaji wa pombe.
ReplyDeleteexactly ni ujeuri tu wakutoelewa mambo
Deletembona pombe zinauzika sana..!!!!eeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhmuulize masogange
ReplyDeletendo maana iliharamishwa
DeleteStarehe ya m2 kama ww hu2mii ki mpango wako! Nyau
ReplyDeleteTena nyau mwili mzima
ReplyDeletewamekosa shughuli za kufanya na kujituma wameshindwa, matokeo ndio hayo kuangukia kwenye urabu
ReplyDeletemsiwahukumu watu wanaokunywa pombe wengi wao wana matatizo wa msongo wa mawazo, mimi mwenyewe nakunywa pombe kutokana na msongo wa mawazo nimejaribu kutumia dawa za msongo wa mawazo za kila Aina lakini imeshindikana kunitibu, ni pombe peke yake ndiyo inanitibu msongo wa mawazo na stress ila sinywi pombe kila siku ni mara tatu kwa wiki
ReplyDelete