Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu
Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA
Tarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM
CHANZO JAMIIFORUMS
Ndiyo wameanza kurithishana siyo?? Akitoka baba anaingia mwana!! Nchi ya hovyo hii, haya siye yetu macho!!
ReplyDeleteShame on u! Ndo mmefikia hapo?? Km watoto wenu ndo mnawarithisha madaraka mwananchi wa kawaida hana haki ktk nchi hii? Mnatupeleka wapi?Inawezekana watanzania tunaufinyu wa kufikir na kuchukua maamuz,nammeligundua hilo ila c kwa kiasi hiki!!! Fine endeleeni...
ReplyDeleteN nyie baba zenu wangekuwa viongozi mkarith sio kulalalamika 2!
ReplyDeleteWatanzania walio wengi ni wavivu sana wakufikir km ww anony!!!!!
DeleteHao walimpitisha ndo majinga!Kama anaona kuna maboya wanaweza kmpitisha kwann asigombee??
ReplyDeletenjaa
DeleteMtoto wa Rais akigombea katika siasa za bongo tena chalinze wajumbe lazima wajikombe tu wampitishe Na ndiyo imekuwa...
ReplyDeletehil
Subiri sk ya Kura atapigwa chini Kama SIOI ARUMERU!!! Tunataka maskini sio kuongezea bahari Maji!!!!!' jamani wewe Rithiwani unaijua shida gani??? Je unajua kwenda msalani
ReplyDeletePole mdau! Ulitaka kusema Rithiwani anajua kwenda masalani na kopo na Maji mkononi sio??? Sio Ndo hivyo Eeeeeeh!!!! Au anajua ukipanda daladala nauli Ni sh ngapi??
DeleteDu nchi ya ovyo
ReplyDeleteKuma we ridh
ReplyDeleteBaba kiongozi, mtoto kiongozi, mjukuu kiongozi wizi mtupu
ReplyDeletehii Nchi wala siilewi na wala sitailewa na Iringa vijijini ni vilevile, sasa maamuzi ya busara wanayo wananchi wao, maana Iringa naona wamama wanacheza ngoma tu na mgombea anayewaambia alikuwa ULAYA, sasa sijui kama anayajua matatizo yao.
ReplyDeleteJAMANI SI NIKIJANA NA NYIE MNATAKA VIJANA WENZENU NI KUMUOMBEA ILI ATUFIKISHE TUNAPOTAKA VIJANA
ReplyDeleteAcheni ujinga nani aliwaambia baba zenu wawe wakulima na wafugaji, je hamjui kama mtoto wa nyoka ni nyoka. Bakieni kupiga kelele Ridhiwani Kikwete huyoooo mbunge, mwakani anakua Naibu waziri kama hutaki basi kaa na roho yako ya kichawi.
ReplyDeleteHebu Tumieni Akili Zenu Ndugu Zangu,kwani Huyu Ridhiwani Si Kapitishwa Na Watz Wenzenu Kama Nyinyi Sasa Nani Alaumiwe? Halafu Yey Ni Mtz Ana Haki Kama Raia Wa Tz Mwenye Sifa Za Kugombea.Kwani Nyinyi Mlizuia Kugombea? Wenzenu Wakisoma Anaiba Mayai Ya Kuku Za Mama Zenu,kila Mtu Anavuna Alicho Kipanda.Wajinga Wakubwa Nyie,someni Na Kusomesha Elimu Haina Mwisho
ReplyDeleteAcha matusi pimbi ww
DeleteAcha matusi pimbi ww
DeleteITAFIKA WAKATI BUNGE LITAKUWA KAMA KIKAO CHA WANAFAMILIA....LOH
ReplyDeleteJaman acheni roho mbaya wanachalonze wameona anaweza nyi mlikuwa mnamtaka nani? Kwan kuna alicjokoaea kafaa taatib zotw wivu unawasumbua
ReplyDeleteMie naona mara 100 ya huyo rithiwan ambaye yupo apa nchini kwa kpnd kirefu na anajua kero za watz na tunategemea atazitatua sasa huyo wa ulaya je anajua nn?
ReplyDeleteAcheni usenge nyie makuzi,dogo,yuko fiti na siasa anaiweza,mbona wabongo hamnaga jema nyie? Mlitaka mgombee nyie,acheni wivu,mungu mbariki sana ridhiwani ktk kampeni zake,mti wenye matunda milele hupigwa mawe...CCM OYEEEEEEEEE ..B (arusha)
ReplyDeleteRizi kanyaga twende,achana na wehu wanopinga kila kitu bila 7bu ya msingi. Sisiemu hoyeeeeeeeeeee!!!!
ReplyDelete