SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya wasanii na mikataba mibovu imeendelea kuwa kilio kwao.
Hilo linawafanya waendelee kubaki palepale licha ya kupanda kwa hatua nyingi takriban miaka saba iliyopita. Sinema kwa sasa, imebaki kuwa na manufaa zaidi kwa msambazaji badala ya msanii ambaye kimsingi ndiye mhusika mkuu katika utayarishaji.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amefafanua mengi kuhusu changamoto zilizopo katika sanaa hiyo.
sanaa ni shida jamani,,nawaonaga wasanii mitaa ya k,ndoni wakiwa kwa ngoti.,irine uwoya kwavaa nguo fupi balaa..
ReplyDeleteMaskini, afu siku hizi imekuwa kila mtu anataka kuwa msanii nadhani, nayo inachangia kushuka, kama tungesema, kwamba ili uwe msanii uwe na degree kwanza ahaaa tungekuwa mbali, lakin wengi ni school drop out!!
ReplyDeleteSteve nyerere jipange sasa na wenzio ili muweze kujinasua maana we si ndo mwenyekiti, umekalia kuuza wadada kwa washua bungeni, mtaendelea kuburuzwa hivyohivyo mwisho siku mtachekea chooni na elimu zenu ndogo hizo pambafuuuuu
ReplyDelete