SHOPRITE IMEUZWA WAFANYA KAZI WAGOMA NA KUANDAMANA MLIMANI CITY

Leo mida ya Jioni pale mlimani City nimeshuhudia wafanya kazi wa Duka Kubwa la Shoprite wakiwa wamegoma wakizua watu wasiingie kwenye duka hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa duka hilo limeuzwa bila wao kupewa mafao yao ...Habari zilizopo ni kuwa duka hilo limenunuliwa na Super Market Ingine kubwa Nchini Kenya Ambayo inakuja kupanua biashara zake hapa Dar .....

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ss hiyo inaweza ikawa dawa ya kulipwa

    ReplyDelete
  2. Au imeuzwa kwa West Gate?

    ReplyDelete
  3. wakenya,watatuletea mabomu..,

    ReplyDelete
    Replies
    1. na inawezekana pia,ugaidi ukahamia uku tz.

      Delete
  4. Hacheni kutuongopea kwmba imeuzwa kwa wakenya, wakati mshua ndo kanunua kwasababu muda wake ndo unaishia madarakani so anazidi kuwekeza ili aendelee kuienjoy vizur, kodi zetu za wananchi wa tz ndo zimenunua hiyo shoprite, nchii hii tunaumizwa sana ss wanyonge

    ReplyDelete
    Replies
    1. si kweli,imechukuliwa na nakummat supermarket ya kenya..

      Delete
    2. acha uzushi dogo, hauoni aibu kuongea mambo ambayo si yakweli, kwa kuwa huyu mkubwa mpole au vipi? kila baya mnamzushia ee mmezidi wa tz kwa kuoongopa vitu visivyo vya kweli nyie mnahitaji mpate mtu katili na dicteta kama lowasa ndio mtaona

      Delete
  5. Ao wafanya kazi wanawazimu tu.sasa mtafanyaje kazi bila mikataba coz kama mliekeana mikataba haina haja ya kuzuia watu wasiingie ndani

    ReplyDelete
  6. wakenya magaidi watatuua

    ReplyDelete
  7. wakenya magaidi watatuua

    ReplyDelete
  8. wakenya magaidi watatuua

    ReplyDelete
  9. wamelamba dar, nakumatt wamekamata kilimanjaro siku nyingi, na pia wanampango wa kuchukua Arusha shoprite soon. sio wabongo wananunua viwanja bunju,na mlandizi wakija mikoani wanasema tunaishi dar. huku watu wananunua mji na kuweka fensi, chezea pesa weye weye. na waajiriwa wengi watakuwa kenyanizzzzz, wabongo wenye nyodo badala ya ku-bung'aa mlimani site tafuteni pa kupumzikia.

    ReplyDelete
  10. We mpuuzi unashabikia ungekua wew fyuuuu!

    ReplyDelete
  11. Sasa km imeuzwa c wawalipe haki zao jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad