Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU JARIBU KUFANYA MOJA YA HAYA NA UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI.
-Una mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka kumsalimu na kumtakia siku njema huytu mtu anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1: shiriki bure sehemu ya chakula chako na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
2: Shiriki nyimbo nzuri kwa mtu mwenye huzuni ama anye feel down
3: Mfundishe mtu ,jambo analotamani kulifaham na halifaham na ni wewe pekee unafahamu
4: Una nguo ama chochote usichokihitaji tena?hapana usikitupe,mpatie yule mwenye kuhitaji
5: Una rafiki ama jamaa mpweke na pengine hana mtu wa karibu wa kushare nae yanayomsibu,make a call am text kwake,mfanye ajiskie hayupo peke yake,kwani kuna siku nawe utakuwa mpweke na utatamani mtu wa kuzungumza nae.
6: Panga ku donate damu,damu yako kidogo inaweza ikaokoa maisha ya mtu sehemu flani..
7: Saidia mzee,ama mtoto kuvuka barabara.
8: Ambia rafiki,family member ama mtumishi ni kiasi gani una mwappreciate
9: Saidia mji wako kuwa msafi,si kazi kubwa kuokota kipande cha uchafu na kuweka sehemu husika
10: Mpigie mzazi wako na kumwambia ni kiasi gani unampenda
11: Motivate mtu flani atimize ndoto zake
12: Jipe amani ya moyo kwa kusamehe
13: la mwisho,jifanyie wewe mwenyewe,Acha kufanya kitu kibaya ulichokuwa unaufanyia mwili wako,pengine uvutaji wa sigara,ulevi wa kupita kiasi etc
....HAIJALISHI NI KIDOGO KIASI GANI UTAKACHOKIFANYA,KUWEKA TABASAMU KWA MTU,NDICHO KINACHO MATTER ...Siku njema
Big up brother Diamond..
ReplyDeleteWewe unafanya hayo?
ReplyDeleteukivaa hivyo unatokelezea.
ReplyDeletemia mia mzee wa ngololo
ReplyDeleteApo sawa dogo
ReplyDeleteSafi hapo 2ko pamoja dogo
ReplyDeleteNimeipenda hiyo
ReplyDeleteInamaana ukitoa msaada mpaka uweke mitandaoni co vizuri km unafanya fanya kimyakimya lkn kiivyo hata mungu apendi
ReplyDeleteDomoooooo!
ReplyDeleteUnafanya vizur br, ila punguza misifa sio kila ukifanyacho iwe ni matangazo, pole sana kwa hilo
ReplyDeleteAcheni usenge kumkandia diamond.
ReplyDeleteulipohalibu ni pale ulipo sema kama mtu ananguo ambazo hazihitaji tena asitupe ample asiejiweza,we kama unmpa nguo masukini kamnunulie dukani ,so unavaaaa afu neo unampa masikini baada ya we we kuchoka,hayo ni makombo
ReplyDeleteNo matter what you may say! He made it. Its well with your soul diamond! Keep it up.
ReplyDeleteHana lolote huyu mtoto, ni nyapu tu, sifa za limbuken ya maisha
ReplyDeletewewe unaemtukana chibu unanini? anatakasifa kakwambia? mshenzi wewe kumanina zakomtu kuandika anachopenda nikosa? oshamboo hukonyoa mivuzi peleka mbagara hukokaitupe tenafanya wewe tuone kamahutotangaza siitakua kilakijiwe kitajua kua umempa mzee walikala kumanina zakooool.
ReplyDeleteHongera sanaaaa
ReplyDelete