Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule hiyo alikataa kwenda shule kitendo ambacho kilimkasirisha baba yake aitwaye Jumanne Nkoyogi ambaye pia ni mfanyabiashara wa samaki mjini Geita.
mashuhuda wa tukio hilo baada ya kuona asubuhi hiyo mtoto huyo akiburuzwa huku amefungwa kwenye pikipiki walianza kupiga makelele na kukusanyana kwa lengo la kumkamata baba huyo aliyekuwa anafanya unyama huo.
Baada ya kumkamata na kumtia kumtia mikononi mwao walimpeleka kwenye ofisi ya sungusungu iliyopo Ihayabuyaga kata ya Kalangalala na kufungiwa humo kwa usalama wake.
Akizungumzia tukio hilo katibu wa sungusungu kata ya Kalangalala aliyempokea mtuhumiwa huyo Abel Richard amesema tukio hilo liliwafanya wananchi kujaa jazba dhidi ya mzazi huyo na kutaka kumpiga.
Amesema mzazi huyo kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Geita baada ya katibu huyo kuwasiliana na uongozi wa jeshi hilo na kuwatuma askari kwake kumchukua haraka kwa usalama wake.
Afisa upelelezi wa mkoa wa Geita Simon Pasua amekiri kuwepo kwa tukio hilo na kusema kuwa mtuhumiwa anashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa kwa upelelezi zaidi.
UKATILI:MTOTO ABURUZWA NYUMA YA PIKIPIKI NA BABA YAKE KISA HAJAENDA SHULE
9
March 01, 2014
Tags
Kwa upelelezi upi ikiwa amefanya kweli
ReplyDeletemwenzangu
DeleteSi ndo hapo sasa yaan tz bhana dah!
DeleteAtandikwe viboko kumi matakoni akiwa utupu...Sijui kwann watu wa kanda ya ziwa asilimia kubwa wana roho mbaya....! Sijui hawana dini?
ReplyDelete.
Lengo lango kabla sijasoma cmnt yako nlkuwa nawaza kuandika hvi hvi. Ni kwel watu kanda ya ziwa ni wanyama. Sitaki hata mwanaume wa huko.
Deletenyie kanda ya bahari ya hndi mnaongoza kwa kusagana basi.
ReplyDeleteBora msagaji kuliko muuaji kumamako zako
Deletekanda ya ziwa wote kumanina zenu roho mbaya chuki umalaya sifa zenu wasenge wote kanda ya ziwa
ReplyDeletematusi sio uhungwana please
ReplyDelete