VICTORIA KIMANI "PICHA NILIYOPIGA NA DIAMOND HAIMANISHI KUNA MAMBO MENGINE YANAENDELEA"

Mwimbaji wa Kenya Victoria Kimani ambaye amekuwa Tanzania kwa siku kadhaa sasa akiutangaza muziki wake pamoja na kufanya collabo na wasanii wa Bongo, amezungumza maneno ya kuondoa ukungu wowote uliokuwepo hasa kuhusu yeye na Diamond Platnumz.

Mwezi uliopita aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye BBA, Huddah Monroe na Colonel Mustafa walitangaza uhusiano wao wa kimapenzi kwenye kipindi cha ‘Kiti Moto’cha KTN.
Victoria amepost picha aliyopiga na mastaa wawili Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz iliyosindikizwa na ujumbe huu:

“ Mafans wangu wote, nawapenda sana sana. Nafanya kazi ya muziki kwa bidii na kwa sababu yenu. Nimepiga picha na wanamuziki wengi na wakubwa sana kote duniani. Na hiyo HAIMAANISHI KUNA MAMBO MENGINE YANAENDELEA NJE ya KAZI YA MUZIKI. Kwa hayo machache, ninafuraha sana kufanya kazi na wanamuziki wakubwa zaidi wa Bongo @ommydimpoz na @diamondplatnumz kwenye single moja. Mimi ndiye msanii wa kwanza wakike kufanya single moja na hawa wawili. Tunafocus na mambo makubwa zaidi ili East Africa iende mbele kimuziki. NAWAPENDA WOTE. Mimi wenu VICTORIA KIMANI. “

Wiki iliyopita U heard ya Soudy Brown iliibua taarifa ya ugomvi uliotokea studio baina ya Abdul Naseeb aka Diamond na mpenzi wake Wema, baada ya Wema kufika studio walipokuwa Ommy na Diamond wakirecord na Victoria.

Post a Comment

31 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa sawa alivyo fanya Wema, kama unajuwa bwana au mumeo kitombi na unapenda...hiyo ndio dawa yake! Udaendaje sehemu na tena unapiga mapicha na mwanamke hujamuaga mpenzio? Ofcoz unamfuta huko huko liwalo na liwe!! Wema kisha umwa na nyoka akiona majani anashtuka. ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO

    ReplyDelete
    Replies
    1. habari ngo hiyo.alafu kenyans malaya sana.

      Delete
    2. Yaani wa Kenya nimalaya tena wale cheee! Wema anaona mbali sana, eti nikazi tu..kazi my beautiful eyes! Jokote ilikuwa kazi pia nini kilitokea baadae?? Wema ukiona demu yoyote anajipendekeza kwa mpenzio lianzishe tu mama lol

      Delete
    3. Malaya ni nyinyi watanzania nani asojuwa mauchafu munazo fanya each n every countries u step ur foot. Ass holes.

      Delete
    4. Wakenya mmezidi khaa! Yaani mnachukuwaga mpaka wa dada zenu. Wakenya ni noumaaa

      Delete
    5. Hebu nyie wabongo mnaodai wakenya malaya,.. mumeshawai kuliganisha wanavyo post blogs za kenya na zenu? Pumbavu nyie, majungu tu!! hamna hata maendeleo! Crazy and Stupid Tanzanians.. Tsk!! Umbea ndo mlioachiwa

      Delete
    6. Wakenya kusema kweli mmezidi umalaya. WA bongo kwa umbea YES, ila UMALAYA wa Kenya mnaongoza! Ukweli ndio huo lol

      Delete
  2. wema nae wasiwasi mwingi............kwanza huyo mwanamke mwenyewe hata sio mzuri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alokwambia wanaume wanaangalia sura nani? Kwani penny ni mzur?

      Delete
    2. Wanaume wana chauzuri!!? We huonagi vicha wachafuuu bara barani wana mimba ! Unafikiri wamezipataje? Wanaume ni budege wao wazoa zoa tu no uzuri

      Delete
    3. Uzuri Wa Mwanamke Si sura Bibi ,wenye sura nzuri mpaka Leo Wana 40 wanatiwa tuuuu awaolewi

      Delete
  3. alafu kwani ommy ni msanii mkubwa?mbona mi simjui!

    ReplyDelete
  4. Hilo nalo neno

    ReplyDelete
  5. Km hujui ww ss mbona t2namjua

    ReplyDelete
  6. Wewe Nana Junior hapo juu malaya ni wewe, amjuae mwanga mwanga ni yeye! Pumbavu!!!! Mbwa kasoro mkia wewe, Shenz!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umepanick sana ndugu yangu , wewe mkenya nini?? Lol

      Delete
    2. Kabisa... mkenya, sisi wakenya tunaopenda maendeleo na sio kupenda kufirwa kama wabongo flani, Nana Junior akiwabebea bendera. fala hii!

      Delete
    3. Usipanick Mkenya. Relax, ukweli unabaki pale pale...Wakenya kwa umalaya mnaongoza.unajua maana ya Budege? Yaani nyinyi wakenya mnashindana na Budege! Lol

      Delete
  7. Better be my dear.Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kuzua mambo.Unakuta mtu anapamba jambo hata halipo sijui kwa faida ya nani.Waacheni kina Wema na Diamond waendelee na maisha yao.Wasikorofishane kisa mahasidi.Wemadiamond forever

    ReplyDelete
  8. Mwanamke mwenye akili zako timamu utamwonea wivu diamond wakati unajua mali ya umma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nasikia penny Yuko tegeta anasubilia wema abwagwe ili arudishe majeshi sinza.aaasalaleeeeee

      Delete
    2. Hujawahi kupenda? Kila mwanaume ni mali ya ummah sio diamond peke yake, so waache na mahaba yao jamani .

      Delete
    3. Omy si bwana kalikufira akukulipa ndo maana unajitia umjui mkundu wewe nana junior malaya mbwa asokujua nani kila sehemu upo msenge na unakoment ujinga kila wakati kumalslamako msenge unafirwa unamajipu mkunduni nijibu nikulipue maraya mbovuu wa mwananyamala

      Delete
  9. Replies
    1. kweli mimi simjui ommy ni msanii wanchi gani gani!(honest) nifahamisheni..diamond angalia usiimbe na vinuka mkojo.fuck kenyans

      Delete
  10. Mkundu nana junior omy kakutomba sana kakufira ajakupa hela msenge ndo unajitia umjui kila sehemu upo wewe kuma maraya mmbovu mkundu wako unamajibu kumalalamako nijibu nikulipue maraya mbovu wa mwananyamala mxiiiiuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. malaya mbovu wa mwananyamala!!!!!! kisimi kibovu wewe.....your out of service that why.holle

      Delete
  11. Mwanamke unayejiamini huwezi kwenda kufanya fujo alipo mpenzi wako huo ni uswahili na kutokujiamini. Kama upo peke yako

    ReplyDelete
  12. NAONA KINYAA!

    ReplyDelete
  13. Ivi nawashangaa mnaosema wema anahisi vic na dai wanatoka aliwaambia au ni udaku wenu tuu maana wema yupo kimya ila miwatu mmeshabikia weee dai na vic kwani huyo vic ni nani mi nimemjua juzi

    ReplyDelete
  14. We Nana Don't Generalize stipud!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad