VIJANA WAKIANDA NYAMA YA MBWA ILI KUICHOMA NA KUIUZA MISHAKIKI ILE YA FASTER FASTER KWENYE VITUO VYA MABASI
17
March 16, 2014
Jamani Wadau Embu kuweni makini na Mishikaki ya Huko barabarani hasa vituo vya Stand ..Huwa vijana inasemekana walikuwa wakimchuna mbwa kwa ajili ya kuandaa mishikaki ya kuuza huko barabarani.....Duuh Mitamu hiyo ...lol
Tags
stupid hao tena wanaizaya
ReplyDeletelol...mbona tunakula vingi....washenzi kabisa haoooo
ReplyDeleteNa hiyo bahari isije ikawa mishikaki ya cocobeach
ReplyDeletemmmmmm zambi kubwa sana, tuepuken kula nyama usiyoiamin jaman hii ni hatar
ReplyDeleteKudadadadeki wapumbavu xna tena amtafanikiwa kama mnatafuta hela ki alamu ivo n vp kutulisha mishkaki ya mbwa.
ReplyDeleteni noma jamani mtuonee huruma
ReplyDeleteHataree kwelkwel
ReplyDeleteHataree kwelkwel
ReplyDeleteKambwa kenyewe kalikuwa kadogo
ReplyDeleteTamu sana mbona tumeshawauzia wengi tu kwa wale mnaosafiri kwenda mwanza mnakula sana hapa singida karibu na mzani.mnapenda na pilipili sasa shida iko wapi jamani na sisi tunatafuta pesa kama nyie.mtawala sana
ReplyDeleteJe uliwakuta wapi? Na ulichukua atua gani zidi yao? Tunaomba jibu mdau
ReplyDeleteIringa hiyo.
ReplyDeleteiringa kuna bahari?. hiyo kigamboni wandugu.
ReplyDeletebora usingesema sasa hivi nitakuwa nainunua balaaaaaaaaaaa!
ReplyDeletehahah.... Sili tena mshikaki... Nikiwa safarini kutoka dar na kuelekea musoma
ReplyDeleteMmh
ReplyDeletehmmm haya mambo ya mula kula hovyo hmmm mwishowe unakula visivyoliwa, shughuli kweli kweli. hasa haya mambo ya nyama, ni ya kuangalia sana manake binadamu zimepinda kweli wengine
ReplyDelete