WACHINA KESI YA SAMAKI WA MAGUFURI WASHINDA RUFAA

RAIA WA KIGENI wawili Tsu Chin Tai na Zhao Hanqueing waliokuwa wanatetewa na wakili John Mapinduzi na Ibrahim Bendera, Februali 23 Mwaka 2012 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ,iliwakuta na hatia katika kwa kosa la kufanya uvuvi haramu katika bahari ya Hindi Ukanda wa Tanzania, maarufu kesi samaki wa Magufuli"kifungo Cha jumla ya Miaka 30 Jela au KULIPA faini ya sh. Bilioni 22,Leo Mahakama ya Rufaa imewaachilia Huru baada ya kuona hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ilikuwa na makosa ya kisheria. Ila washitakiwa Hao wamerejeshwa gerezani kwaajili ya Taratibu nyingine za JESHI Hilo la Magereza ili wawe za KUACHILIWA Huru.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili tulitarajia wataachiwa tuu. hii ndio bongo. bado mumuachie shikuba na papaaa musofe chuma cha reli.

    ReplyDelete
  2. Viongozi wa kibongo wasenge sana yaani watu wafanyao ufisadi na waaribio mali ya nchi huwa mnawaachia tu kirahisi, ila watu wasio na hatia mnawakandamiza kwa bifu za kijingajinga, kama kweli mmewaachia huru hawa wachina, basi mshua mtoe BABU SEYA mbona unamtesa mzee wa watu bila hatia, kuweni na huruma jamani

    ReplyDelete
  3. Nana ivi umesoma? naona wew nimbumbu tena galasaaaa!

    ReplyDelete
  4. Ndiyo maamuzi ya mihimili yetu, watu wamekamatwa bila kificho mahakama ya Rufaa ambayo ndiyo ya mwisho inawaachia huru alafu wmawakili watetezi ni watanzania Tz (Afrika) tumekwisha, tutauzana kisa hela.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad