Wengi wa watu wetu ni Mataahira, ni kwamba tu hatujakuwa na utaratibu wa kuwacheki watu wetu, lkn naamini idadi ni kubwa sana inaweza kuwa zaidi ya 30%!
Ukiangalia kuanzia Magomvi Majumbani mpaka Ngono Zembe ndio utaliona Hilo, Watu wanaotembea Nje ya ndoa ni Mataahira, yaani wana IQ ndogo kuliko wale wasiotembea nje ya Ndoa!
Kwa maana nyingine IQ zao hazitoshi kuweza kumudu Maisha ya kawaida, ni sawa na Watu wanaofanya Uhalifu pia ni Mataahira wana IQ ndogo...
Mmh, hiyo mada inauzito
ReplyDeletekama wewe admin,
ReplyDeleteNdio mana wanafumwaga
ReplyDeleteSijaona IQ inaendana vipi na kutembea nje ya ndoa. Maana kama ni hivyo dadazetu wasingekuwa wanatombwa na ma professor ambao IQ yao ni kubwa na wako kwenye ndoa
ReplyDeleteKitu kidogo sana, kwanini wasiwapende wake zao, au nje ya ndoa wanafata nini wakati wake zao wanavyo, tatizo ni kushindwa kugundua tatizo la kulirekebisha, kuhusu dadazako wanaotombwa na maprofessor hizo ni sifa za kijinga. Sorry!!
DeleteYo self
ReplyDeleteDunia imekwisha... tumrudieni Mungu, vinginevyo wanandoa tutakwisha.
ReplyDeleteHebu tujiulize kwa nini wanawake ni wengi kuliko wanaume? Kwa nini wanawake wana uzuri tofauti, maumbile tufauti na tabia tofauti? Je? wameumbwa hivyo kwa bahati mbaya? au ni mpango maalum ambao kwa upeo mdogo wa mwanadamu hawezi kuona tafsiri sahihi ya mpango mzima. Iwapo wanawake wote wangelingana kwa kila kitu mambo yangekuaje? Ikiwa ndoa ni makubaliano ya wapendanao je? wapi ni ndani ya ndoa na wapi ni nje ya ndoa. Mtoto anaezaliwa ndani ya ndoa na yule anaezaliwa nje ya ndoa tofauti yao ni nini mbele za Muumba? Je? inawezekana wanawake wote kuolewa, kama haiwezekani, wasioolewa wafanywe nini ikiwa mahitaji yao ni sawa na ya wale waliobahatika kuolewa. Watengwe? au tuwaombee warudishwe walikotoka na pia tumuombe Mungu aachane na mpango wake wa kutuletea wanawake wengi ili tuweze kulinda ndoa zetu. Maandiko yanasema “mwanamke mpumbavu atavunja nyumba (ndoa ) yake kwa mikono yake mwenyewe”. Nini maana ya andiko hili. Dalili za nyumba (ndoa) iliyovunjika au inayovunjika ni zipi? … wadau, tukiwa na majibu sahihi ya maswali haya tunaweza sasa kujadili kuhusu utaahira, tamaa na IQ ndogo za wanaume.. NI MAONI YANGU TU
ReplyDelete