Picha ya Diamond Platnumz inayomuonesha akiwa amelala na huku shavuni kukiwa na lipstick za mwanamke iliyowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Wema Sepetu, imevunja rekodi ya mtandao huo kwa Tanzania kwakuwa na comments nyingi zaidi.
Hadi sasa picha hiyo ina comments 1,786 na hivyo kuizidi picha nyingine aliyoiweka mwezi uliopita ambayo ndio ilikuwa picha ya kwanza inayomuonesha Wema akiwa na Diamond tangu warudiane. Picha hiyo ilipata comments 1,601.
Wakati huo huo Diamond ndiye staa wa Afrika Mashariki mwenye followers wengi zaidi kwenye Instagram (ukimtoa Lupita Nyong’o mwenye followers 930,744, au wengine wanaoishi diaspora). Hadi sasa staa huyo ana followers 95,900+ akifuatiwa na mpenzi wake Wema mwenye followers 82,870+.
Bongo5
WEMA SEPETU AWEKA RECORD YA KIPEKEE MTANDAO WA INSTAGRAM TANZANIA
14
March 18, 2014
Tags
mbon kavaa helen ya sepetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au fashion
ReplyDeleteni mapenzi tuu, sio vibaya kuvaliana !!! Poa
DeleteHahahah watu mnachunguza nilikuwa sijaona hereni
ReplyDeleteMe hata lipstick sikuona sasa sijui imetoka kwa madam au jamaa karud nayo
ReplyDeleteHuyu mtoto domo na wema wote mabwabwa nyambafuuuuuuu
ReplyDeleteMtakoma na wivu wemu. Kuwa na mdomo mkubwa Mungu ndo kaumba...hebu ww anony umba mtu wako...
DeleteKumbe anapendeza hivyo akiwa kalala... Wema hongera mama...
mbona unachukia wenzako wakipendana kwa dhati!?? tafuta wa kwako atakayekupenda kwa dhati, utakufa kwa wivu kijana
Deletekwel madam we noma'mtu kalala we ukanyatia kumpga pcha,mapenz bwana
ReplyDeleteJamani wema unamuumiza penny nasikia Yuko tegeta anasubilia uachike atie timu,asalaleeee
ReplyDeletewe!!!!kwa nini sasa?.haya maisha saa nyengine sio fair kha...yaani kaenda tegeta kujificha.....au anaumwa umental.,usiombee yakakukuta uwezi fanya chochote.
DeleteNikweli ya hayakuhusu.
ReplyDeleteDomo kubwa kalala fooo! akiamka domo kunuka balaaa!
ReplyDeleteHayo cyo mapenzi bali niusgenzi
ReplyDeletekababy boy kakilala kazuri hako kweli diamond mzuri bhana wema+diamond forever
ReplyDelete