Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo juu.
‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo zake yaani these thieves i hate youuuuuuuu..sasa mmeiba sawa haya na inakuwaje mvujishe wimbo wa hbaba?sasa mapigo mawili kutengeneza gari na wimbo mnavujisha TUBEBANE SONG haikuwa itoke sasa ndo nini?? Why kariakoooooo lumumba jamaniiiiii my new car..’’
Pole sana dada Florah
WEZI WAMLIZA FLORA MVUNGI...WAIBA NA NYIMBO MPYA YA H-BABA
4
March 20, 2014
Tags
Iyo picha ya gari iko wapi kuma wewe
ReplyDeleteWANASUBIRI DIAMOND AKITOA WIMBO WASEME NDIO ULE ULIOPOTEA!!
ReplyDeletehahahaha hicho kingereza cha frola mi hoi ful majanga
DeleteWe msenge acha kumtukuza domo, mnafirwa wote nyie na chief kyumbe pumbafuu,
ReplyDelete