.jpg)
Yaliyonikuta jana siwezi rudia kumpigia simu mwanamke yoyote usiku
Kuna msichana nilikuwa namchukulia kama dada kwa sababu ni dada wa rafiki yangu na tumekuwa tukipigiana simu ata usiku yeye pia amekuwa akinitumia ujumbe ata usiku ikawa mazoea.
Jana usiku wa saa nne nikampigia simu nimwambie wikend njema,akapokea simu mwanaume anaongea kama watu wa Arusha.
Alivyosikia sauti ya kiume tu bila kuuliza mi ni nani alinifulumishia matusi ya nguoni sana na kuniambia yeye anaenjoy kifuani mimi naangaika kupigia simu wake za wengine.
Akanitukania mama yangu,na matusi mengine makali, nilijitahidi kumwambia siwez rudia kupiga simu sababu sikujua kama ana mwanaume.Na pia nikamwambia uyo ni kama dada yangu lakin hakunielewa .uyo rafik yangu amekuwa akiniambia yuko single hana mtu.
Siwezi rudia kumpigia simu rafik yangu yoyote wa kike usiku.mwisho itakuwa saa 12 jioni.Matusi niliyotukanwa ni makubwa.
Pole sana bro!
ReplyDeleteSi wee peke. Namimi ni me yaisha kumepita mwezi mja, na sione tofauti hata moja , sababu niliyo yaishi ni hayohayo.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteLakino sim usk mwingi unamoigia ya nini Ki herehere chako Na ww .
ReplyDeleteUkomage,
ReplyDeleteBack to back,na ww mwanamme pia,hakutaka kukuuliza kavurumisha matusi na ww unge play the same game,km kajifanya mjinga na ww ungejifanya mjinga madhal si dem wako haina noma...
ReplyDeleteLakini ukifikiria kwa makini saa 8 usiku sio muda mzuri wa kapiga simu hata kama alikuambia yupo single. Na kama issue ilikuwa ni kumtakia weekend njema si ungemtumia tu msg hata saa usiku ungeeleweka. Hayo mazoea yenu sio mazuri atakuponza.
ReplyDeleteLakini ukifikiria kwa makini saa 8 usiku sio muda mzuri wa kapiga simu hata kama alikuambia yupo single. Na kama issue ilikuwa ni kumtakia weekend njema si ungemtumia tu msg hata saa usiku ungeeleweka. Hayo mazoea yenu sio mazuri atakuponza.
ReplyDeletekasema kampigia saa nne sio saa nane
DeleteUsiku wa manane! Ukome!
ReplyDeletePole mwaya
ReplyDeleteNdio ukome kufanya mazoea na mademu kwa kizingizio cha dada......tafuta demu wako utakayekuwa unampigia simu masaa 24 na kuzungumza naye maneno unayotaka. Tena ukome ×1000......mshenzi mkubwa weeee......
ReplyDeleteMshenzi mwenyewe, mkundu wa baba yako... ndo maana mama yako changudoa. Matako weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Deletepole bro
ReplyDeletePole ila mida sio mizur ulotumia kupiga sm
ReplyDeleteUsiludie tena chalii yangu anagalamiwa weunafukuzi utafanywa kitu mbaya erooo.
ReplyDeleteKuna demu aliwahi kuniambia yuko single, tukawa tunapigiana simu mpaka usiku hasaa...tunaongea sana! Siku moja, mitaa ya 12 jioni nikapiga simu akapokea mwanaume. Naye kwa dharau akaanza matusi mbaya, kila aina ya tusi. Nikamchunia tu, +:?@##*. Ile kumaliza nikawa kichaa zaidi yake nikamwita "dear, mbona leo umekua mkali sana baby?" Jamaa akahamaki, we +#:/!##* unaniita baby? Nikamwambia "darling ina maana umenisahau? Au una kidumu leo?" Jamaa akakata simu. Nikapiga tena, akapokea demu mwenyewe, nikawa chizi zaidi nikamwambia naomba niongee na bwanako akanijibu jamaa analia mbayaa eti me nimemtukana. Nikamwambia demu jamaa akome kupokea simu zisizo zake! Sijamtukana ila nimemwita darling na dear yeye analia! Matusi yake aliyonitukana me nilivumilia. Na mwisho wa siku nilimkula demu na kummwaga. Anyway, ulikua ni utoto kipindi hicho.
ReplyDelete