YANGA WAPATA AJALI MIKESE, MORO

Kikosi cha Yanga SC kimepata ajali baada ya basi lao kutumbukia mtaroni katika eneo la Mikese mkoani Morogoro.

Basi hilo limepata ajali likitokea mkoani Morogoro kwenda Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jana.

Taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thanks God mmpo safe jaman yanga juuu juu zaidi zngne wasindikizaj tu

    ReplyDelete
  2. Yanga oyeeeeeee, poleni vijana, tunakusubirini mje mmtandike lambalamba!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad