1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za
ofa.
3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani.
Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi
kinaisha.
4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho
ukivaa nguo pana
hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.
5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila
kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.
6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina
umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.
Hahahahahahahahahahahaaaaaa....Admn umeimaliza cku yangu vzr
ReplyDeletejamani!!!!!!!!!!!!!!!! makubwa
ReplyDeleteHahahaha jamaniui
ReplyDeleteDu! Wajameni!
ReplyDeletenimeLyk kitambi mtunguo
ReplyDeleteUngeweka picha za mfano wa aina hizo jaman
ReplyDeleteHahahahahahaha burdaniiiiiii na vitambi........
ReplyDeleteHahaaa We Nouma Nimecheka Mie Mwenzenu Kitambi Chakutoka Na Maombi???
ReplyDeleteHujatuwekea cha mnywa gongo na pombe cha kienyeji (mataptap) yeye anakuwa na tumbo kubwa nyuma pasi pia usoni muda wote kama ana nnya anaitwaje huyo?????????? pls adm. nitajie
ReplyDeletenamba nne nd o funga kazi kitambi mtepeto ambacho kinasababishwa na ulaji wa vporo kwa wingi ,wajameni mbona watu wala vporo kwa saan a wengi wao hawana hvyo vtambi?
ReplyDelete