AJALI MBAYA ENEO LA LUGALO JIJINI DAR


AJALI hii imetokea leo asubuhi baada ya magari kusimamishwa ghafla eneo la Lugalo, Makongo ili kuruhusu wanafunzi wavuke ndipo lori liliposhindwa kusimama na kuparamia kingo za barabarani kisha kuiangukia gari dogo aina ya Toyota Cresta 'GX 100'.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ee Mungu jamani huyo kaka yuko mzima Mungu aipe nguvu familia yake

    ReplyDelete
  2. pole sana kwa ajali mbaya hii! Eeeh Mungu weee mbona umejificha mbali lakini!

    ReplyDelete
  3. leo?? mbona nimepita lugalo leo asubuhi sijaona mushekeli wowote!!

    ReplyDelete
  4. Acha usenge wewe kwani unauhakika mda uliopita ndio ajali imetokea,by the way iyo gari na aliepata ajali ni mfanyakazi mwezetu alaf unaleta ukuma...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad