Mkasi ni kipindi cha TV kilichoanzishwa na msanii na mfanyabiashara Ambwene Yessaya aka AY, kipindi kilichojipatia umaarufu mkubwa nchini Tanzania.
AY yuko nchini Kenya ambako pamoja na mambo mengine ameenda kuzindua video yake mpya ya ‘Asante’ iliyotoka weekend iliyopita.
Kwa mujibu wa Nairobi Wire, AY ameenda Kenya na crew ya Mkasi ambao ni Salama Jabir na Josh Murunga, kwa ajili ya kuangalia fursa zinazoweza kupatikana nchini humo kwa lengo la kutaka kupanua wigo wa kipindi hicho.
“Tuko hapa kwanza kuangalia uwezekano wa kupanua biashara ya kipindi chetu” Alisema AY.
Wiki iliyopita msimu wa mkasi ulimalizika kwa Salama kumhoJi AY, na moja ya vitu alivyovisema AY kuhusu kipindi ni pamoja na hiki:
“Season inayokuja itakuwa ni revolution kama ambavyo tumefanya mwanzo…kwa kweli ni kuwa watu ambao wana akili zao watu ambao wana lengo moja kwa pamoja ni timu ambayo inafanya kitu pamoja na tunafanya kitu kimoja ambacho kinawafundisha na watu wengine”.
Msimu mpya wa Mkasi ambayo hurushwa kupitia EATV unatarajiwa kuanza Julai Mosi.
-Bongo5
A.Y br uko juu sana, hongera kwa kujituma na kuonesha mafanikio bila skendo za kijingajinga kama hawa mbwa koko walijua juzi kijichamba, wanatia aibu sana hapa tz, mafanikio kidogo basi kila siku kwnye magazeti wasenge nyie, elimu hamna poleni sana
ReplyDeleteNa uganda pia muende
ReplyDeleteHongera zko kaka kila lakher
ReplyDeleteay kwa kenya mwishowe ataliwa tigo nawakenya
ReplyDeletehv
Deletewe nana j. mbona una mdomo mchafu kias hicho, kila commend utakayotoa
ni matus tu, hivi huna wakubwa kwenu? mind ur language plz.
Nana J Tigo yako imelegea kwa kuliwa wala sio mnaoto tena unahofia soko litachukuliwa na AY pole,ina mzee wa commercially yupo kikazi zaidi.
ReplyDeleteNana ni mbwa koko wa uswahilini, alafu hata shule hajaenda
ReplyDelete