BABY MADAHA"WACHA NITENGENEZE CHAPAA KUOLEWA LABDA 2030"


Na Nyemo Chilongani
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amesema hana papara na suala la ndoa kwani amejipanga kutimiza tendo hilo mwaka 2030.

Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema anachoomba ni uzima kwani suala la ndoa analiona halina umuhimu kwa sasa kwani ni kipindi cha yeye kusaka fedha kwa hali na mali.

“Sina haraka bwana, maisha haya yanahitaji kuyatengeneza, najipanga Mungu akipenda labda kwenye 2030 huko ndiyo nitafunga ndoa sasa hivi acha nitengeneze chapaa,” alisema Baby ambaye umri wake unakadiriwa kutopungua miaka 30. 
GPL

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa 2030 si ndo atakuwa kibibi kabsa au wapo watao penda kuowa kizee? Ni swali nauliza sijaamnisha ni kibibi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ameshajiona hana soko huyo nan ataweka ndan stress hizo watu wameshamtumia sana mjin sasa hana soko na mwanaume wa ndoto yake hawez kupata!ndio maana anasema hivyo!kunamwanamke ambae anakataa ndoa kwel?

      Delete
  2. Hapo tu bibi hyo 2030 c Ndio ntakuwa anatembelea fimbo atakuwa katoa mimba mpaka mayai yameisha

    ReplyDelete
  3. mpaka hapo alipofikia asha zeeka kaona hamna mwoaji ndo anajifanya eti mpaka 2030 . atakua ajuza tayari

    ReplyDelete
  4. umeshachoka tayari ata ukisema uolewe leo hakuna atakae kutaka

    ReplyDelete
  5. ushakua kopo mayai yote umeshayatupa chooni nani ataowa kopo?

    ReplyDelete
  6. choka mbovu umesosomola mimba kibao nani ataoa kopo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau umenichekesha eti umesosomola

      Delete
  7. ww endelea kujiuza tu lkn kuhusu ndoa sahau wanaume ss hv wanataka wife material siyo show off km ww mpk utakufa upat ht wa kukuambia tukae bure.

    ReplyDelete
  8. umeshachoka bibi na siyo baby!!

    ReplyDelete
  9. Mh et wife material ar u a husband material au bosheni tu........bongo nikuchetuana tu msitubabaishe km hela nasie tunatafuta sasa kaa usubiri wife material wakat nasisi tunaangalia husband material....ukumbuke tunazaa na tunalea wenyewe bila dushe so hababaishwi mtu now adays

    ReplyDelete
  10. tehe tehe tehe ahaa haaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad