BATULI AKUBALI KUIGIZA NUSU UTUPU

MWANADAFADA mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi

Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.


“Zamani nilikuwa nikiogopa kuigiza nusu utupu. Wenzetu Nigeria wameendelea na ndiyo maana wanaigiza hata nusu utupu, kama itatokea nafasi ya kuigiza huko (nje ya Bongo) nusu utupu, nipo tayari,” alisema Batuli.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. shame on u, ni juzi tu ulisema sasa kuva nusu uchi basi imekuwaje leo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si hapa chacha mi chichemi.....

      Delete
  2. hana jipya anataka kuandikwa tu na wakawaida sana tu uyu

    ReplyDelete
  3. Juzi uliongea nn? Tatizo huna nyota unaongeaongea pumba ili upate kick ...kaogeeee

    ReplyDelete
  4. Kma huna mvuto huna tu hata ukicheza uchi kbsa bdo utakosa soko

    ReplyDelete
  5. kabisa mdau apo juu ajipange upyaa atukujui wala habar yaki aiuziki km za mastar wengine mfyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. Njo Kenya uigize sex klp wataka Kuna hela utapata tena ww watakiwa kwa dola.sio shillings

    ReplyDelete
  7. Take it easy girl...

    ReplyDelete
  8. Mpumbavu kabisa dada huyu...hajielew...kaona pesa bora kuliko utu...

    ReplyDelete
  9. Tatizo nyota hana bidada, usiringie uzuri ringia bahati

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad