Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amewataka wasanii wenzake wa Tanzania kumuunga mkono Diamond na AY baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye kampeni ya kilimo inayohamasisha vijana wa Afrika kukipa nafasi kilimo.
Akizungumza kwenye kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio hivi karibuni,Ben Pol alisema hakuna haja wa kuwa mtimanyongo kwa Diamond na AY.
“Mimi nachoweza kusema ni kwamba hao ni ndugu zetu,wameenda kutuwakilisha vizuri,yaani hakuna haja ya kuwa na mtima nyongo,yaani ‘ooh ‘dah kwanini sio mimi’ hapana! Kwasababu hiyo imekuwa hivyo kwasababu wametakiwa watu wawili, kwahiyo suala ni watu wawili wowote wanaweza wakaenda kurepresent, ni suala jema ndo tunavuka mipaka, itasaidia mabadiliko mengi ikiwa pamoja na masuala ya bei na value ya msanii.Kwahiyo tunapata exposure tunajaribu kujifunza pia vitu vingi itatusaidia as wasanii,” alisema.
-Bongo5
big up bro.
ReplyDeleteUko sawa kabisa,lkn wao kilimo wanakitazamaje,kwa nini masanja asingeenda kuwakilisha kwa vile yeye tayari ni mkulima ?
ReplyDeleteHa ha ha ha uwiiii, Dahhh umenichekesha arooo
DeleteMi naona kwenye kipaji Ni Diamond, maana nyimbo zake zina-hit Sana. AY analazimisha tu. Hana hit song kwa muda mrefu Sana.
ReplyDeleteUna mawazo mazuri bro
ReplyDeleteNyimbo anazoimba AY siku hizi hazieleweki. Mi naona Ni bora angerudi kwenye mtindo wake aliokuwa akiimba miaka ya mwanzoni mwa 2000.
ReplyDeletekwel .zilihit sana kipind kile kwa sasa hajielewi
ReplyDeleteNyie wasenge sana tatizo lenu hamna elimu, ndo maana think capacity yenu iko china, kwa mziki anaofanya A Y, huwez kumlinganisha na huyo dada yenu domo hata kidogo, AY ndo maana hafanyii show zake hapa tz siku hz, coz bongo mnashabikia vitu ambavyo havina elimu wa uadilifu, AY yuko juu sana alafu anajua anachokifanya domo vinambeba vyombo vya habar tu lakina hata theluthi hawez kumkaribia AY, acheni tabia ya bendera kufuata upepo nyie kima
ReplyDeleteWe nae mlevi umetoka nje ya mada nani kawalinganisha diamond na Ay soma kichwa cha habari tena!
DeleteNakuunga Mkono Ay Ndo Kira Kitu Tatizo Weng Hawaelewitu
ReplyDeleteAcheni usenge nyie ay hana lolote amejaza meno tu kama makande.
ReplyDeleteay peleka meno huko ka ya zombie cimuelew kabisaa
ReplyDelete