BINTI WA KIBONGO MWANA CHUO ASABABISHA MZUNGU KUFUKUZWA KAZI

Raia mmoja wa nchini Finland amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya kushindwa kufanya lolote kazini alipoajiriwa baada ya kutaka kuwa katika mahusiano na mwanadada huyu wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye alimteka akili kiasi cha kumfanya Mzungu huyo kuwa anashinda chuoni kutwa nzima kubembeleza akubaliwe jambo lililomsababishia aache kuhudhuria kazini kwa muda wa miezi mine mfululizo kutokana na kupagawishwa na uzuri wa mwanadada huyu ambao umemfanya awe gumzo chuo kizima. Mzungu huyo  ambaye ni muajiriwa wa kampuni moja ya simu za mkononi (Jina limehifadhiwa) hapa jijini alikuja Tanzania mwaka jana kwa dhumuni la kufanya kazi kwa mkataba amejitia matatizoni baada ya kumtaka kimapenzi mrembo huyu ambaye alikutananae kwa mara ya kwanza katika coffe bar moja iliyopo Mlimani city na kwakushindwa kuzuia hisia zake alijikuta akiomba mawasiliano ya mrembo huyu jambo ambalo ndio hasa limemsababishia matatizo kutokana na ukweli kwamba Mzungu huyo amekuwa akimbembeleza sana mrembo huyu bila mafanikio  kiasi cha kumfanya aweanashinda Chuoni kwa huyu dada huyu Mlimani main campas. 

Utoro sugu wa Mzungu huyo umemuweka katika wakati mgumu kwani amepewa barua mbili za onyo mpaka sasa na amebakiza barua ya mwisho aachishwe kazi jambo ambalo mwenyewe anasema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwani hayuko tayari kumkosa dada huyo licha ya ukweli kwamba nchini kwao ameacha mke na watoto. 
Nilipomfanyia mahojiano dada huyo alidai hawezi kuwa na mtu ambaye hana m,alengo nae ya muda mrefu kwani uwepo wake hapa nchini ni wa muda mfupi tu hivyo yeye hayuko tayari kuwa kama chombo cha starehe kwa kila mpita njia. Licha ya kumpongeza dada huyo nilitaka nifahamu kama ameshamwambia ukweli Mzungu huyo ambapo dada alieleza kuwa ukweli ameshamwambia lakini jamaa huyo amekuwa king’ang’anizi kiasi cha kumnyima mpaka muda wa kujisomea jambo linalomfanya akate shauri la kwenda kumripoti katika kituo cha polisi kilichopo chuoni hapo endapo kesho siku ya kesho atathubutu kumfata tena
Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. daaaaah mungu kaumba vingi jamani

    ReplyDelete
  2. dawa kuwabaka 2 na mpango wa kuendesha boda boda watakoma

    ReplyDelete
  3. wazee wa mi-tusi hz cku 2 vip?

    ReplyDelete
    Replies
    1. walikonda.,,wackilizie leo watakavyotema povu!

      Delete
    2. wapi NANA JINGA???

      Delete
  4. mamae hata ngekuwa mimi wanifukuze tu maniner!

    ReplyDelete
  5. nzi kafia kwenye kidonda

    ReplyDelete
  6. a2mie ofoo salo stail au ile ya munisi

    ReplyDelete
  7. ilo zungu boya kumamaake

    ReplyDelete
  8. Dada mpe japo kimoja Tu.

    ReplyDelete
  9. hata miye kuna kadada kananichanya sana lakn nahs kama ananipenda lakn hatak kuniambia ukweli!

    ReplyDelete
  10. maskini mzungu wa2

    ReplyDelete
  11. Wadau mm mwenyewe kuna bint ananichanganya sana, sijuwi hata nifanyaje jaman

    ReplyDelete
  12. Biashara..... we mbunifu balaaa

    ReplyDelete
  13. ma2c hayo na mpekuzi ilianza hv hv mpk leo ss nyie naona mmechoka

    ReplyDelete
  14. Kenge wee ulizuia coment bila sisi blog inakufa hii

    ReplyDelete
  15. washenzi tu wanaume, tena angemkubali angejuta wanaume wa kifini hasara tu ikija kwenye mambo ya kitandani.

    ReplyDelete
  16. Kwanza mzungu amejichanganya mbona kwao mademu wengi ni English figer hili asingeliweza lita jamba sana achane nalo atafute potabo

    ReplyDelete
  17. Duh hii kali yaan tokea nanza kujua mambo ya kikubwa sijawah kusikia eti dent wa chuo kamkataa mzungu tena yuko vizur!hiyo stori kamdanganye mtoto wa zaman sio wa siku hizi!nyinyi madent wa vyuo mnavyo penda show off leo umkatae mzungu kuma kibuyu uongo mtupu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad