BREAKING NEWS: Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.
BREAKING NEWS:MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI
16
April 15, 2014
Tags
Michongo tu hiyo yan wez watatu wavamie bank
ReplyDeleteTunakwenda wapi? Police kazi yao kukamata pikpiki
ReplyDeletehapa kuna kitu nyuma ya pazia
ReplyDeletemichongo ya kikubwa hiyo
ReplyDeletepolis kazi yenu ni kuwasumbua dereva bodaboda 2.
ReplyDeletepolic mnaacha kulinda mali kubwa nyie mnaenda kuwasumbua dereva bodaboda.
ReplyDeletePasaka hii wanatafuta hela ya sembe na tembele. Kama hawajatoa roho ya mtu pouwa,ma-soldier wawatafute maana wao wanakuja nyuma ya tukio.
ReplyDeletePolisi polisi manina zenu...wao ndo waeke roho zao rehani wafe waache familia zao zateseka..stupid.polis ulimsomesha wewe..nawe kawe polisi ulinde..fuc u
ReplyDeletekumamaye alafu maraia bhna cjui yakoje kila kinachotokea police,police mnawaponda mnapo patwa na shda mnamkumbuka tulizen mikundo hyo!!
DeleteJambaziiii I Lu v u ghaflaa nitafutee mtoto mchunaa nikupe massage
ReplyDeleteHahaaaaaaa hapo aulizwe manager haiwekezan vibaka wa3 wavamie benk na bastola ikiwa polisi wanalinda na smg nje
ReplyDeleteHahahaaaaa kwa bastora wakat polis wanalinda na smg uuuuuuuuwi
ReplyDeleteMh hata taarifa ya habari hamkuona hakuna askari wa smg bwana nawenyewe walikuwa watatu na machine gun
ReplyDeleteNapita tu
ReplyDeleteDah..!maandalizi ya pasaka hayo..!!
ReplyDeleteAcha muvi iendelee
ReplyDelete