Imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
Unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!! !!!!
oyeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteChadema kwishney. Kichapo cha paka mwizi kudadadeki.
ReplyDeleteWasenge tu ccm, hamna lolote mambulula tu
ReplyDeleteMtabaki kupiga kelele tu, kama kawaida yenu, nyie si wapinzani bana, fresh
DeleteSasa kwa upungufu wenu wa akili mlitegemea mtoto wa rais ashindwe?mliogombea naye poleni kwa kupotezas muda wenu hata mngefuga kuku nyumbani sahivi vifaranga vingekuwa vimetotolewa tchaooo
ReplyDeleteumeona eeee mdau umenana sana wangetegemea kula mayai
ReplyDeleteWewe uliyeandika habari hii ni mvivu wa kifikiri,kwahiyo huyo zitto angekuwepo angepiga kura zote ili chadema washinde,pale ilikuwa ni lazima ccm washinde kwasababu mikoa ya pwani ni ngome ya ccm hilo lipo wazi,pili alikuwa anagombea mtoto wa mwenyekiti wa ccm,wewe unadhani kwa upeo Wako mbovu inawezekana ashindwe na utawala wetu mbovu mbovu kama huu
ReplyDeleteSawa angeshindwa ndio lakini kama angekuwa Zitto naamini wasingeshindwa kiasi hichi maana hii Ni aibu CCM wamepata ushindi kwa asilimia kubwa Sana ..
DeleteMmmmmmh! Mbowe anampango kurudi C C. M. Mpo Hapo!!!!
ReplyDeleteccm tuilete tuikumbatie tuibusu..... wapinzani tuwalete tuwachane chane tuwatupeeeeee....... hahahahahahaaaaa chezea ccm ww mpaka wapinzani wameimba, hongera ridhwan......
ReplyDeleteCna chama chochote kile ila CCM nawakubali vibaya mnoooooooooo coz wamenizaa na wamenilea.
ReplyDeleteWote kumbukeni hakuna cha ccm au chadema hii nchi hipo pabaya sana miaka 10 hijayo na akuna mwanasiasa hata mmoja anayetaka kusema ukweli DENI kubwa tunalodaiwa litaitesa nchi yetu tafuteni kiongozi mkweli .hacheni ushabiki wa kijinga eti ccm or chadema
ReplyDeleteKantangazeeeeeee chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteSasa kijana tulia hachana na sembe
ReplyDelete