1) Godbless Jonathan Lema -- Diploma
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe – Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education – O level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level,
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education,
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM, Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay – Primary,
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM), UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay – Degree in law, Open University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM – Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree – DIT
24) Joshua Samwel Nassari – Not updated
Msitari mwekundu kwa Uongozi wa juu nchini kama Ubunge unatakiwa uwe juu ya Advance diploma, Hili la Ubunge kwa chadema ni kama vile Mheshimiwa slaa alivyotangaza Kirahisi kuhalalisha gongo kwa lengo la kuvuna kura za wanywa gongo eti atakuza uchumi kupitia watengeneza gongo na wanywaji! Kasahau kwamba gongo hata kama sio sumu ila inaweza kutengeneza genge la wavivu kufanya kazi, Hawajali taaluma na wanazidi kujitetea na kutangaza kwamba elimu sio kigezo cha lazima kwenye uongozi kwani wasomi wa ccm wamechemsha tangu Uhuru!.
Ukweli ni kwamba ukiondoa wabunge wasomi wachache wa chadema wengine ni wapiga kelele tu Bungeni wanafanya kuonekana tu kwamba wanaongea lakini ni wabunge wasio na mtazamo wambali wanaona mwisho wa pua zao tu.
Taifa zima linapaswa kuamua sasa Kukataa kuongozwa na waigizaji wa Darasa la saba, na lazima tusitumie maneno rahisi kujenga jamii isiyothamini elimu Kama tunavyoaminishwa na wanasiasa rahisi hawa ambao kwasasa wanaonekana kivutio kwa wasiosoma kama akina afande sere, JB, Ray, Mzeemajuto ambao lengo lao kusaka ubunge nikuongeza umaarufu wao ila hawana vission yeyote kwa Watanzania.
Bungeni sio sehemu ya kuenda kufanya sanaa, Bungeni sio kwenda Kuchekesha Bali nikuenda kuwawakilisha watu milioni karibia hamsini sasa ambao asilimia 80 wanaishi katika umasikini wakutupwa, acha mwanamziki afanye kazi ya mziki, muigizaji aigize, mchekeshaji achekeshe nasio kukimbilia mambo mazito ya kitaifa kwa umaarufu rahisi walionao.
Tujiulize swali Tunajenga Taifa gani kwa kuongoza na Darasa la 7 au wasanii?
Hivi mzee majuto anataka aende Bungeni Kufanya nini kama sio dharau kwa Bunge letu?
Mtu kama Lema au Sugu Ufahamu wake unaweza kulitoa taifa letu toka katika umasikini? au ndio tunazidi kuongeza migogoro katika jamii?
Tusitumie Kigezo rahisi Eti wasomi wameshindwa basi kilamtu awe kiongozi katika jamii, angalia ukweli Hivi mtu kama zitto au J Mnyika anaposimama bungeni unaweza kufananisha na sugu au Lema.
Taifa lolote lililoanza kupoteza Muelekeo linaanza kukumbatia wasio soma na wahuni kama akina lema na sugu na hii ni dalili mbaya Lazima Tujitambue na Tutambue athari za mfumo huu unaojongea Taratibu, Tusipokuwa makini Tutafanya kosakubwa sana kwa kuongozwa na Dicteta ambae kichwa chake ni sifuri kabisa.
Chadema Kama chama Mbadala talajali wa CCM, jitahidini kutujengea viongozi Bora, shawishini wasomi wagombee nafasi kubwa kama ubunge na msiangalie umaarufu wa mtu kwasababu baadaye mkipewa nchi mawaziri watabaki kunywa gongo, kuvuta bangi, kufanya maigizo, na kuimba bongo flever tu badala yakuwa serious kujenga Uchumi.
Wabunge ambao ni darasa la saba je wanajiendeleza kielimu au ndio wamebweteka wakijua chadema Hakuhitaji wasomi? au nadharia yenu ya kuogopa umaarufu wao ndio bado itawapa nafasi ya kugombea ubunge tena 2015?, Tuleteeni akina Mnyika, akina mdee, akina zitto wengi2015 nasio kutujazia watu waliokimbia umande eti wanaweza kwakuwa wapiga kelele wasiojua hata uelekeo.
Uchaguzi wa 2015 lazima Uwe uchaguzi utakaotuletea wasomi vijana wengi bungeni, Sugu, Lema, Majimarefu, Murugo, wote jiandaeni kugombea labda udiwani na hata baadhi yenu udiwani pia hauwafai gombeeni serikali za mtaa mwakani.
Je,CCM inazingatia kigezo cha elimu katika kuwachagua viongozi? je,hao Maprofesa wa CCM wamefanya kipi cha maana kwa taifa tangu uhuru? the truth is... "Leaders are born not made..''( Stogdill,1974)
ReplyDeleteAcha ujinga wewe. Utawezaje kufanya maamuzi bila utambuzi?
Deletena maji narefu naye ni msomi wa chuo kikuu eeh.....toka ameingia bungen ushawah kumsikia akiongea chochote
ReplyDeleteTatizo la serikali yetu mtu ukisoma sana hupati kazi
ReplyDeleteunachanganya siasa na elimu havichanganyiki kamwe jiulize wakati tunapata uhuru nchi ilikuwa na wasomi wangapi kwa hiyo bunge lisengeundwa
ReplyDeleteUnaturudisha kwenye ujima.nenda shule utajua umuhimu wa elimu ktk uongozi.
Deleteadmin sasa umekuwa msenge
ReplyDeletesasa admin umekuwa msenge
ReplyDeleteunaudhi
ReplyDeleteHuna jipya elimu na siasa ni vtu viwili tofauti kuna ngazi za elimu na za kawaida darasa la saba anatoka nchi gani kma c tz kuna wazee kule vjijin wanaakili ucpme lakini la saba tu kulingana na aanavyojiendeleza still hata degree ya open ni degree acha kuleta porojo unatumika
ReplyDeleteHuyo aliesema admin msenge atakuwa sugu huyo!! Mi nasema admin uko sawa kabisa. Wasenge kama kina sugu 2015 hawana nafasi, msipojipanga wananchi tutawashangaza kuma nyie!!!
ReplyDeleteWe nawe umejuaje kama ni Sugu?acha chuki binafsi wewe alikutombea demu wako nini?
Deleteadmin umelewa!
ReplyDeleteLazima tuende na wakat, kipind ambacho tz imepata uhur hakukuw na wasomi weng kutokana na natur ya taifa letu, wananch wenyew waliosoma walikuw wachache hivyo hapakuitajika kuw na wasomi weng kuongoza nchi, lakin iv karn hii unaweza kuongoza nchi bila kusoma? Wananch wenyew wengi wapo vyuo vikuu wamesoma alaf kiongoz darasa la 7, eb fikiria utamdanganya nn, lazima tuenda kwa kuangalia tulipo na tunapokokwenda
ReplyDeleteje tony brair waziri mkuu wa uingereza alikuwa na elimu gani?
ReplyDeleteViongozi wengi wa zamani hawakusoma sana, wengi ni la saba ndio na hata hao waliosoma pia nao hawajafanya chochote hadi leo hii, na hawa wasomi waliopo sasa pia ni sawa kuwa viongozi ila kuna kitu kimoja wamekikosa hawa wenye elimu zao? Zamani sana kulikuwa na chuo cha uongozi ambapo hata hao walioishia la saba walipokuwa wakigombea uongozi walikwenda kusomea? Je hao wasomi waliopo sasa wamesomea uongozi au just taaluma zao tu? Tuwe makini jamani, uongozi ni kipaji lakini na elimu pia inasaidia, elimu pekee haikufanyi kuwa kiongozi bila kuwa na kipaji cha kuongoza. Hv vitu vinategemeana kama timu za mpira wa miguu; kwani bila kuwepo kwa timu pinzani umeona wapi mechi ikachezwa!!??
ReplyDeleteje Tony brair waziri mkuu wa zamani uingereza alikuwa na elimu gani?
ReplyDeleteDu kweli elimu Si kitu cha msingi kihivyoooo,ndesamburo Hana elimu lakini Ana hela Kama mchanga Wa baharini.na wenye elimu zao kutwaaa kumuomba misaada.
ReplyDeletemimi nataka unieleshe kitu kimoja cha msingi kipindi nchi unaongozwa na viongozi wengi siyo wasomi ustawi wa wananchi wengi ulikuwa juu elimu,matibabu na huduma nyingi za kijamii bure hata miji ilipangiliwa vizuri sasa wamekuja hawa washikaji wanajiita wasomi kazi yao kubwa kuingia mikataba mikubwa ambayo hainufaishi wananchi zaidi ya wao kupeleka watoto wao kusoma nje na kuiacha jamii ya ya kawaida kitanzania katika lindi la umasikini hapo ukiambiwa uchague msomi na yule wa zamani ambae hajasoma utachagua yupi
ReplyDeleteshule muhimu jaman
Deleteshule muhimu
Deletewa2 waxome acheni siasa kwenye swala la elim
ReplyDeletekwenye elimu acheni siasa akuna wajinga basi wanao pinga na nyinyi msipeleke watoto wanu shule siasa si ipo majinga haya
ReplyDeletekwenye elimu acheni siasa akuna wajinga basi wanao pinga na nyinyi msipeleke watoto wanu shule siasa si ipo majinga haya
ReplyDeletehaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletemm
ReplyDeletesi kutegemea kama mtu mwenye akili timamu anaweza kushabikia upunzi wa kwamba mtu asiye na elimu aruhusiwe kugombea ubunge, si ndo wanakuwa wanalopoka, na kuleta vurugu za kijinga na kung'oa maiki mbungeni, cjui tuliwapeleka mbungeni kung'oa maiki au kutetea mali za wananchi wao, na wengi wao wanakuwa kama bendera ni kwasababu ya kukosa elimu.
ReplyDelete